Hivi hawa wasanii na watu maarufu hapa bongo huwa hawapati Ngoma?

Mbassa jr

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Posts
1,234
Reaction score
3,213
Nimekuwa nikijiuliza sana hili jambo hasa pale napoona wanavyochalazana mkuyenge na jinsi wanawake wanavyotembeza papuchi,mfano gigy money alipohojiwa alisema hakumbuki kapigwa mkuyenge na wanaume wangapi mpka sasa na umalaya kauanza akiwa mdgo lakini juzi kati hapa kajifungua mtoto,mpka najiuliza huyo njemba mwenye roho ngumu alotembea nae kavukavu alikuwa anajiamini nin??

Au wasanii hawa wana assuarance ya kutopata ngoma??? Ukija kwa bwana mondi anavyoutembeza mara kwa hamisa mara zari mara huyu alafu na wengine mimba juu inamaana hapo ndomu huwa haihusiki kabisa....!

Au watakuwa wanajuana wao kwa wao ??? Ama huwa wanapima kabsa kabla ya kupelekeana mkuyenge??

Maana hali ilivyo kwa sasa na skendo zao mara leo katoka na huyu kesho na huyu na wengine mimba kbsa inaonesha kabisa kutumia ndom kwao ni nadra sana.

Asa najiuliza au hawa wasanii wana assuarance ya kutopata ngoma kwa kuwa ni celebrity???

Ama la wengi wao wanaishi nao wanatembezeana wao kwa wao???
 
hao wasanii game zao zinahesabika, kuna watu si wasanii ila wana game 150+ sasa hawa wa game 10-20 ndo uwaze kupata ngoma.

Ngoma ipo na maambukizi yanapanda, ila naona hawa wasanii wanajirudia kama atakuja kuwaka mmoja kuna uwezekano wa kuwaka wote
 
Ndo nashangaa mkuu kuna siku niliona ali kiba anahojiwa akasema alikuwa hajawahi kupima alipimwa alivyofika nadhani marekani kama sio uingereza aliugua ghafla ndo wakamchukua vipimo ndo mwanzo wa kujikuta yuko vzuri,asa kwa hawa wengine sijajua
 
Udasebaje? Kwamba hawa mizoga kina Amberlulu game zinahesabika?
 
Mkuu, hata wewe ukiwa maarufu huwezi kupanda ngoma, hata kama unayo tayari inapotea
Hahahaa huwa kuna nin mkuu hadi inashindwa kuwa active kama kwa wwngine
 
Wengi wao wanakula vizur,wanafanya mazoez na kupumzika kwa wakat ngoma watapata wapi??
 
Ndo nashangaa mkuu kuna siku niliona ali kiba anahojiwa akasema alikuwa hajawahi kupima alipimwa alivyofika nadhani marekani kama sio uingereza aliugua ghafla ndo wakamchukua vipimo ndo mwanzo wa kujikuta yuko vzuri,asa kwa hawa wengine sijajua
Mkuu nani kakuambia hawapati. Sijajua umri wako lakini ungefuatilia orodha ya wasanii waliofariki kwa UKIMWI tangu uingia hapa Tanzania utashangaa. Ni weeeeengi mno. Halafu jambo jingine. Siku hizi hizi dawa za kupunguza makali ya virus zinafanya watu wengi wasiugue tena na vifo vimepungua sana. Nina watu watatu nawafahamu huu ni mwaka wa 15+ tangu walipougua na kukutwa na virus. Na waliugua kweli kweli kama siyo hizo dawa sidhani wangekuwa hai. Lakini ukiwaona sasa wako vizuri sana sana. Hivyo usione watu wanatembea barabarani ndugu yangu au wako kwenye Luninga au staging wanaimba. Katika hao niliokumbia wana zaidi ya miaka 15 kuna mmoja ni ndugu yangu wa karibu. Alinishangaza siku moja aliponiambia kuna siku alikwenda kuchukua mgao wa dawa akajita yuko kwenye foleni na jamaa mmoja na mke wake ambao kama mtu angesema wana virus ungeweza kumnasa vibao. Nilishangaa kweli kweli nikauliza mara mbili mbili una uhakika?
 
hahaaaa mkuu sasa siuwataje "" yaani "" unatumia fake I'd lakini bado unatulisha wali mkavu...sio poa aiseeeee
 
Udasebaje? Kwamba hawa mizoga kina Amberlulu game zinahesabika?
hahaaaa kwakweli hata mimi nimestaajabu....kama yule wema na wolper aaweza kujaza kurasa za gazeti zima " idadi ya wanaume ambao wametoka nao
 
Kuwa maarufu na wewe upate nafasi ya upendeleo mkuu, hahahaha...
 
Wa
hahaaaa kwakweli hata mimi nimestaajabu....kama yule wema na wolper aaweza kujaza kurasa za gazeti zima " idadi ya wanaume ambao wametoka nao
wapo kwenye msamaha wa ngoma kwa kuwa ni waburudishaji. Si unaona mwarabu alivyokula mzungu wa kondeboy
 
wengi tu wameungua,siri ya mgonjwa na daktari ,madaktari wa mwananyamala wanazo siri nzito maana kule ndo wengi wanaishi karibu wanatibiwa kule na kupata dozi
 
Steve nyerere anajuana na wasanii wengi ukimuuliza hakosi jibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…