Hivi hawa wasanii na watu maarufu hapa bongo huwa hawapati Ngoma?



Mkuu umetumia utaratibu gani kuja na hitimisho hili?
Au unatoa changamoto kwa wasanii kioo cha jamii wajitangaze ili kuzidi kutoa somo kuwa upo na kupunguza unyanyapaa??.
Kwa ukimwi hakuna kundi, taasisi ,kabila au ukoo ambao haujaguswa kwa namna moja au nyingine.
 
Ngoma hawapati, ila upungufu wa damu ndio tatizo lao kubwa, jiulize vizuri upungufu wa damu chanzo chake nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…