Hivi hawa watoto wazuri Haji Manara anawapateje?

Hivi hawa watoto wazuri Haji Manara anawapateje?

Hivi mbona mnatuptray kama viumbe wa ajabu ajabu tu hivi. Kwahiyo mnataka kusema hatuwapendi eeh?
 
Ukute kachanjia ndele!

Ila siku hizi hiyo sio nzuri kwa nyakati hizi.

Kuna wanaume wengine nao wanaroga ingawa wanawake ni zaidi ktk kuroga
 
Nafikiri u-celeb pia ni chambo,pisi kama hizo kuangukia uke wenza si mchezo.

Kipanya naye mkewe wa nne ni kisu sema yeye siyo mtu wa "advertise".
 
Watu sisi tuna angalau kidogo sio kwamba sisi ni matajiri lakini vidogo vidogo vya kusukuma maisha mbele na kusaidia wapendwa na watoto wazuri hatuwezi kosa.

Lakini mapenzi yanatusumbuwa kinoma yaani.

Mpaka kuna mda nafikiria labda Haji anatumia kizizi yule sio bure maana namuona anakaa saana kiuganga

Kweli mimi wakuzungushwa na watoto wa Tandale kwa tumbo

Hakuna wa kumzalia yeye kama yeye yule nguruwe ukiona hivyo ni pesa na mwaliz watafokoa nje mimba zao, uvumilivu pesa, wanampokea na kumsitiri kisa pesa. Atapanic sana mtoto wa mijikenda na anjuani.

Chukia upanic na ulipuke kwa mkurupuko.
 
Ni wapenda pesa, anatoa sana pesa , binti haji kwa kumpenda , bali pesa na wanakuwa na asili ya umalaya malaya! (sorry for the nasty comment)
Pambana utafute pesa hakika nakuambia huo msongo wa mawazo utaondoka wenyewe pamoja na hizo chuki
 
Hakuna wa kumzalia yeye kama yeye yule nguruwe ukiona hivyo ni pesa na mwaliz watafokoa nje mimba zao, uvumilivu pesa, wanampokea na kumsitiri kisa pesa. Atapanic sana mtoto wa mijikenda na anjuani.

Chukia upanic na ulipuke kwa mkurupuko.
Yaani unamtusi mtu na kukashifu uumbaji wa Mungu kisa eti yupo yanga?
 
Watu sisi tuna angalau kidogo sio kwamba sisi ni matajiri lakini vidogo vidogo vya kusukuma maisha mbele na kusaidia wapendwa na watoto wazuri hatuwezi kosa.

Lakini mapenzi yanatusumbuwa kinoma yaani.

Mpaka kuna mda nafikiria labda Haji anatumia kizizi yule sio bure maana namuona anakaa saana kiuganga

Kweli mimi wakuzungushwa na watoto wa Tandale kwa tumbo

haji anatumia pess kuwapata wanawake ambao hawana pesa.

ila sina maana kila mwanamke utampa kws kutumia pesa zako ila unatakiwa kujua wanawake wanavutiwa zaidi na kitu ambacho hawawezi kuwa nacho

mfano 👇👇👇👇
20221019_111001.jpg
 
Back
Top Bottom