Askof Mstaafu
JF-Expert Member
- Jun 28, 2018
- 924
- 4,581
Hahahhaha naamini ujumbe utawafikia na punde wakipata ujumbe huo watarudisha mrejeshoWale mliokuwa mnacheza mpira wa miguu kwa sifa ili mpendwe na mademu maisha yanaendaje huko Barcelona?
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji109]...naamini watawakilisha salamu zako mkuuAhaa haaaa ....
nawasalimu rafiki zangu wakali wa basketball na kudank, vipi huko ''NBA'' timu zenu zipo nafasi ya ngapi? Mpeni hi Hasheem Thabit mkimuona ...
[emoji38][emoji38][emoji38]na FBI..Watarudisha majibu nini kinachoendeleaNawale mliokuwa ma spy wa discipline master, hali inaendeleaje huko CIA, KGB, MOSSAD,TISS.....
Akipata ujumbe huu atatujuza hapo wizara ya elimu panaendelea vipiWakuu
Baada ya kutuma salamu zangu.sasa nawaletea ushuhuda
Wakati nasoma o level kuna boya alijidai sana shule kunoga .meza amejaza vitabu na daftari anatumia meza mbili peke yake
Na ma sifa mengi.unakuta muda wa break umefika ila yeye anaendelea tu kuuliza maswali
Basi bwana tukamaliza akatoka na div 1 mimi na jamaa zangu div 2
Kufika advance yule mjinga alipata division 0[emoji23]
HahahhahaUchokozi uchokozi tu
Hahahahah.na maeneo ya Mutex na Mwatex watujuze uzalishaji unaendelea vipiWale waliokuwa wanaiba mashuka ya wenyewe.... Vp hapo urafiki,
Pia vipi pale Kongo mpk sasa wameamua niniWale mliokuwa mnàanzisha migomo na harakati za kumwondoa headboy maisha yanaendeleaje hapo uK.aW.a
Vipi na wale mabingwa wa kuandika majina ya wapiga kelele huko vipi hapo tbc panaendeleajeWale mliokuwa mnàanzisha migomo na harakati za kumwondoa headboy maisha yanaendeleaje hapo uK.aW.a
Kwa ile division 0 sidhani hata kama alifika degree[emoji3]Akipata ujumbe huu atatujuza hapo wizara ya elimu panaendelea vipi
Hahahahaha naam naam!!Kwa ile division 0 sidhani hata kama alifika degree[emoji3]
Na kama yuko wizarani basi ni mbeba pochi ya ndarichako