Hivi hawa watu wako wapi?Njoo tujuzane wako wapi

Ahaa haaaa ....

nawasalimu rafiki zangu wakali wa basketball na kudank, vipi huko ''NBA'' timu zenu zipo nafasi ya ngapi? Mpeni hi Hasheem Thabit mkimuona ...
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji109]...naamini watawakilisha salamu zako mkuu
 
Wakuu
Baada ya kutuma salamu zangu.sasa nawaletea ushuhuda
Wakati nasoma o level kuna boya alijidai sana shule kunoga .meza amejaza vitabu na daftari anatumia meza mbili peke yake
Na ma sifa mengi.unakuta muda wa break umefika ila yeye anaendelea tu kuuliza maswali
Basi bwana tukamaliza akatoka na div 1 mimi na jamaa zangu div 2
Kufika advance yule mjinga alipata division 0[emoji23]
 
Akipata ujumbe huu atatujuza hapo wizara ya elimu panaendelea vipi
 
Back
Top Bottom