Hivi hawa watu wako wapi?Njoo tujuzane wako wapi

Wale mliokuwa viranja wa msosi nawasalimia. Maisha yanaendaje Serena, Bilila Kempisky, Mount Meru etc?
Naamini salamu zitakuwa zimewafikia huko walipo na wakirudi watatujuza nini kinachoendelea huko
 
Ukashindwa kumuuliza ukaona utoe na jibu kabisaaa hahaaaa
 
Mungu anakuonaaa wee uliyeandika postii hiii
Taarifa yakooo walee wa chooni ndio wako mjini wamefanikiwa mifyezaaaaaa
 
Kuna jamaa mmoja tulivyokuwa primary kazi yake ilikuwa ni kuleta viboko, fimbo aka mbalati. Kwa ss jamaa ni polisi hana hata nyota. Nae namsalimia
[emoji109][emoji38]..amezipata mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…