- Thread starter
- #81
Hahahaa,Naamini ndo makatibu watendaji kwa sasaWale waliokuwa wanagoma kutoa chabo kwa wengine, kazi zinaendaje hapo PCCB.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaa,Naamini ndo makatibu watendaji kwa sasaWale waliokuwa wanagoma kutoa chabo kwa wengine, kazi zinaendaje hapo PCCB.
[emoji38][emoji109]Wale mliokua mnafua nguo za shule kila siku,vipi kazi ya udobi huko mlipo inalipa eeh?
hahaaaaaaa inanihusuWale ambao O level mlichagua optional subject "French" mambo yanaendaje huko Paris
HahahMi nilikua nawapa majibu vilaza nahisi wataniita abiria msalaba mwekundu!!!!
hahah saiv vipi huko Paris mambo yanaendaje kwa ufupi mkuu.hahaaaaaaa inanihusu
Wengi wao ni CO vikosi jeshiNa wale kaka wakuu Walikuwa wanatutolea amri vipi hali ikoje mtaani??
Kumbe unamkumbuka jamaa[emoji12] ,jamaa nilikutana nae mahara ,siku hizi kawa kibosile Fulani, ana gari yake nzuri sana, kashaoa na mtoto mmoja, ana bonge la nyumba maeneo ya kimara nyingine iko maeneo ya bunju.Kwa ile division 0 sidhani hata kama alifika degree[emoji3]
Na kama yuko wizarani basi ni mbeba pochi ya ndarichako
Mkuu umeamua kuchanganya madesa[emoji23]Kumbe unamkumbuka jamaa[emoji12] ,jamaa nilikutana nae mahara ,siku hizi kawa kibosile Fulani, ana gari yake nzuri sana, kashaoa na mtoto mmoja, ana bonge la nyumba maeneo ya kimara nyingine iko maeneo ya bunju.
Jamaa maisha fresh isee, nikagundua kufel mtihani sio kufel maisha.
Yupo shirika la kimataifa linaloshughulikia idadi ya watu.
Hii kweli mkuu, yaani jamaa sijui alipitaje pitaje hadi kufika huko,Mkuu umeamua kuchanganya madesa[emoji23]
Wapo idara ya habari maelezo na customer careKwa wale mliokua kila mwalimu akiuliza swali eti mnakuwa wa kwanza kujibu kilaa siku.je hali ikoje.kwa sasa?
Tunaendelea kupumzika kitaaniWale wapenda mapumziko kuliko vipindi dalasani.hali yao ikoje kwa sasa
hahahahaWengi wao ni CO vikosi jeshi
[emoji1][emoji41]Kumbe unamkumbuka jamaa[emoji12] ,jamaa nilikutana nae mahara ,siku hizi kawa kibosile Fulani, ana gari yake nzuri sana, kashaoa na mtoto mmoja, ana bonge la nyumba maeneo ya kimara nyingine iko maeneo ya bunju.
Jamaa maisha fresh isee, nikagundua kufel mtihani sio kufel maisha.
Yupo shirika la kimataifa linaloshughulikia idadi ya watu.