Hivi hawa watu wako wapi?Njoo tujuzane wako wapi

Wale waliokua wanajipendekeza kuandika majinaya wapiga kelele akat ilikua kazi ya montress darasani....mwaka 2015 mlichaguliwa kituo gani cha kuandikisha wapiga kura??? Au mlitemwa!!!
 
Nadhani hao na Judge wetu mpendwa Lubuva wanafahamiana vema
 
Wale vmliokuwa viongozi Wa TYCS mashuleni maisha yanaendeleaje huko VATICAN papa hajambo
[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom