Hahaahha saiv wapo na mama mtakatifu..Wale mliopewa zawadi ya nidhamu/upole mambo ni vip hapo mbinguni [emoji14][emoji13]
Nadhani ndo wale wanaoendesha magari ya ikuluWale mliokuwa mnagonga kengele mashuleni, maisha yanaendeleaje hapo garage
[emoji23][emoji23]Huu uzi umenifanya nicheke sana!
[emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji16][emoji23][emoji23]Wale wakujifanya Cynthia na kina Rambo enzi za shule ..Hollywood wanasemaje !!?
[emoji23][emoji23]Hahahahaha eti education is better than money.
Salamu zmewafikia kwa kwelMa time keeper vp mishe zenu huko kwenye viwonder vya majiko
Wale waliokuwa wanagawa chakula maisha yanaendaje hapo serena hotelHivi wale mliokuwa mnakaa chooni shuleni muda wa vipindi mnafanya kazi sasa hivi?
Hivi Vipi wale chairperson wa debates mashuleni sasa hivi hapo Shirika la utangazaji la BBC na CNN midahalo inaendaje???
Hivi wale mliokuwa mnakomaa kwenye debate mpaka macho yanakuwa mekundu kwamba Education is better than money bado mna huo msimamo au,,!
Hivi wale mliokuwa viongozi wa ulinzi vipi hapo Usalama wa Taifa mambo yanaendaje.
Ongezea uwezavyo mpaka hawa watu tuwapate
[emoji23][emoji23]muda si mref watakuja hapa kutujuzaWale waliokuwa wanagawa chakula maisha yanaendaje hapo serena hotel
wale waliokuwa ma Dom leader maisha yanaendaje hapo shirika la nyumba la Taifa??Hivi wale mliokuwa mnakaa chooni shuleni muda wa vipindi mnafanya kazi sasa hivi?
Hivi Vipi wale chairperson wa debates mashuleni sasa hivi hapo Shirika la utangazaji la BBC na CNN midahalo inaendaje???
Hivi wale mliokuwa mnakomaa kwenye debate mpaka macho yanakuwa mekundu kwamba Education is better than money bado mna huo msimamo au,,!
Hivi wale mliokuwa viongozi wa ulinzi vipi hapo Usalama wa Taifa mambo yanaendaje.
Ongezea uwezavyo mpaka hawa watu tuwapate
[emoji23][emoji23]..watakuwa ndo wanashughulikia mambo ya receptionwale waliokuwa ma Dom leader maisha yanaendaje hapo shirika la nyumba la Taifa??
Hahahaha mara nyingi wale wanao kaa karibu na ubaoWale mliokua mnaandika kwa spidi ya juu na kusema "Mwalimu tumemaliza futa ubao" mmehudhuria press conference ngapi mpaka leo?
Hahahaha huyo mimi😀😀😀Wale mliokuwa mnabrush viatu kila siku na kuvifuta na kitambaa kila vikipata vumbi kidogo, vipi biashara ya shoeshine inaendaje huko mlipo..?
😀😀😀😀Wale mliokuwa mnagonga kengele mashuleni, maisha yanaendeleaje hapo garage
Ndio waliokuwa vierere,Ooh sijui mwalimu hujasema defn,Ooh umekosea kuandika namba..aah[emoji23][emoji23]Hahahaha mara nyingi wale wanao kaa karibu na ubao
[emoji23][emoji23]Hahahaha huyo mimi[emoji3][emoji3][emoji3]
Hahahaha huu uzi nimecheka mnooo 🤣🤣🤣🤣🤣Ubarikiwe muanzisha mada.Ndio waliokuwa vierere,Ooh sijui mwalimu hujasema defn,Ooh umekosea kuandika namba..aah[emoji23][emoji23]
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
hahaha[emoji106]Hahahaha huu uzi nimecheka mnooo 🤣🤣🤣🤣🤣Ubarikiwe muanzisha mada.