Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Hahahah [emoji28][emoji28][emoji28]Wale wanafunzi waliokuwa wanakaa mbele ili waelewe mwalimu nawasalimu, mambo yakoje hapo wizara ya utumishi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahah [emoji28][emoji28][emoji28]Wale wanafunzi waliokuwa wanakaa mbele ili waelewe mwalimu nawasalimu, mambo yakoje hapo wizara ya utumishi?
HahahahaWale vmliokuwa viongozi Wa TYCS mashuleni maisha yanaendeleaje huko VATICAN papa hajambo
Hivi wale mliokuwa mnakaa chooni shuleni muda wa vipindi mnafanya kazi sasa hivi?
Hivi Vipi wale chairperson wa debates mashuleni sasa hivi hapo Shirika la utangazaji la BBC na CNN midahalo inaendaje???
Hivi wale mliokuwa mnakomaa kwenye debate mpaka macho yanakuwa mekundu kwamba Education is better than money bado mna huo msimamo au,,!
Hivi wale mliokuwa viongozi wa ulinzi vipi hapo Usalama wa Taifa mambo yanaendaje.
Ongezea uwezavyo mpaka hawa watu tuwapate