Hivi hawa watu wako wapi siku hizi....

Mbona unapenda kufuatilia fuatilia maisha ya watu? Hichi nacho ni kihere here cha aina yake...
Nichumu mtu akileta uzi jaribu kufikirisha ubongo wako kidogo kabla ya kujibu.Kuna tatizo kwenye muziki wa bongo flavour kwa sasa.Ile miziki au wasanii wa kipindi
kile walikuwa wanaimba nyimbo za Burudani ambazo zilikuwa za kuleta ujumbe mzuri na burudani.Nyimbo zile ilikuwa siyo rahisi msanii "kutekwa".Nawasihi wajikite kwenye kuburudisha achaneni na siasa.Leo nilienda club fulani Dar DJ akawa anapiga nyimbo Mabinti wa Kitanga,Kampani yetu wote makacha (MB dog),Nakshi Nakshi,Dar mpaka Moro.....Sasa hivi kuna sijui nikae kimya sijui niseme, sijui wapo au hawapo,Tanzagiza Tanzamwanga nk.You bongoflavour archtects,you must have dropped a ball somewhere.Go back and pick it up.Wishing u all happy Easter!
 
Wale wanamziki wa zamani wamemalizwa na madawa... Akili zao zimejaa giza kwa sasa hawawezi kuandika mashairi kama waliyokuwa wanayaandika miaka ilee!
 
1.O ten mzee wa ebu nicheki

Kawa mtu wa kuunga unga tu.
2.Crayz GK mzee wa sauti wa manka

Yupo now anaforce force mziki
3.Kalapina
Amekuwa na harakati za kupinga drugs pia alingia katk siasa
4.Bwana misosi mzee wa nitoke vipi?

5.Yule bwana mwenye rasta kwenye wimbo wa bwana misosi nitoke vipi?

Anaitwa Hard mad kuna ngoma alitoa but haija bamb wala nin,

6.Siwema ambaye aliwachanganya wasanii kibao mpaka kupelekea kumwiimba.

7.Mzee wa Umbo namba nane.

Kashakuwa teja mzuri tu
8.Mez B mzee wa kikuku cha mama Rhoda.

RIP, karudisha mpira kwa kipa

9.Bushoke (Bwege).

10.Yule mzee wa mabinti wa kibongo

Huy nahisi atakuwa BIZMAN, sijui wap alipo

11. Mad brain aliyeimba achana nao ft sister P, alichoki
 
Mkuu mtoe kwanza mez b kwenye hiyo list( may his soul rest in peace)[emoji120] [emoji120]
 
watakuwa.wanasoma.hao
 
Wapo wengi wamefulia hatari
 
Wengi wanakula unga/sembe.. Hali zao ni mbaya sana...
 
hao washapita.

Kila nabii na zama zake....we endelea kusikiliza ngoma zao za zamani ila wakifa utajua tu na usiache kwenda msibani.
 
5. Hard mad yupo sema akitoa ngoma zinabuma. Ila sitokuja choka goma lake la tamara...
Ile ngoma ni habari ya aljazeera
 
O ten kuna siku alipita mtaan kwetu... Asee kachoka knomaa alikua anaelekea katka studio bubu moja hvi. Nkajisogeza hapo studio ndani kabsa nikamkuta na squizer
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…