Kwani kiswahili kina kanuni? Au kiswahili ni nini?Alishakufaga ndio lugha gani? Usiwe unaandika Kimbulu humu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kiswahili kina kanuni? Au kiswahili ni nini?Alishakufaga ndio lugha gani? Usiwe unaandika Kimbulu humu
Huna aibu kuandika haya mayai yako kiswahili ni lugha iliyojitosheleza haiitaji mitindo tumia maneno sahihi acha kujinasbu kwa hoja za kitotoKwani kiswahili kina kanuni? Au kiswahili ni nini?
Unajitoa fahamu eeeh!Kwani kiswahili kina kanuni? Au kiswahili ni nini?
Nichumu mtu akileta uzi jaribu kufikirisha ubongo wako kidogo kabla ya kujibu.Kuna tatizo kwenye muziki wa bongo flavour kwa sasa.Ile miziki au wasanii wa kipindiMbona unapenda kufuatilia fuatilia maisha ya watu? Hichi nacho ni kihere here cha aina yake...
Wale wanamziki wa zamani wamemalizwa na madawa... Akili zao zimejaa giza kwa sasa hawawezi kuandika mashairi kama waliyokuwa wanayaandika miaka ilee!Nichumu mtu akileta uzi jaribu kufikirisha ubongo wako kidogo kabla ya kujibu.Kuna tatizo kwenye muziki wa bongo flavour kwa sasa.Ile miziki au wasanii wa kipindi
kile walikuwa wanaimba nyimbo za Burudani ambazo zilikuwa za kuleta ujumbe mzuri na burudani.Nyimbo zile ilikuwa siyo rahisi msanii "kutekwa".Nawasihi wajikite kwenye kuburudisha achaneni na siasa.Leo nilienda club fulani Dar DJ akawa anapiga nyimbo Mabinti wa Kitanga,Kampani yetu wote makacha (MB dog),Nakshi Nakshi,Dar mpaka Moro.....Sasa hivi kuna sijui nikae kimya sijui niseme, sijui wapo au hawapo,Tanzagiza Tanzamwanga nk.You bongoflavour archtects,you must have dropped a ball somewhere.Go back and pick it up.Wishing u all happy Easter!
1.O ten mzee wa ebu nicheki1.O ten mzee wa ebu nicheki
2.Crayz GK mzee wa sauti wa manka
3.Kalapina
4.Bwana misosi mzee wa nitoke vipi?
5.Yule bwana mwenye rasta kwenye wimbo wa bwana misosi nitoke vipi?
6.Siwema ambaye aliwachanganya wasanii kibao mpaka kupelekea kumwiimba.
7.Mzee wa Umbo namba nane.
8.Mez B mzee wa kikuku cha mama Rhoda.
9.Bushoke (Bwege).
10.Yule mzee wa mabinti wa kibongo
11. Na wengine wengi wa enzi hizo ningependa kujua wako wapi siku hizi?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] mkuu uko dunia ya ngapiUwiiiiiiiie auwiiiiiiiiiiieeee yeuwuiiiiiiiiiii auuuuuuwiiiiiiiiiee jamani nini kilimuua?
Kyampisi eya izimbya anga??Kwani kiswahili kina kanuni? Au kiswahili ni nini?
watakuwa.wanasoma.hao1.O ten mzee wa ebu nicheki
2.Crayz GK mzee wa sauti wa manka
3.Kalapina
4.Bwana misosi mzee wa nitoke vipi?
5.Yule bwana mwenye rasta kwenye wimbo wa bwana misosi nitoke vipi?
6.Siwema ambaye aliwachanganya wasanii kibao mpaka kupelekea kumwiimba.
7.Mzee wa Umbo namba nane.
8.Mez B mzee wa kikuku cha mama Rhoda.
9.Bushoke (Bwege).
10.Yule mzee wa mabinti wa kibongo
11. Na wengine wengi wa enzi hizo ningependa kujua wako wapi siku hizi?
Auwiuiiii, yeueiiiwiiiii[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] mkuu uko dunia ya ngapi