Hivi hawa wengine wanelewa kweli???

kiparah

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2010
Posts
1,173
Reaction score
117
View attachment 21350
Hapa ndiyo kijijini kwetu nilipompelekea Babu Laptop ili naye niweze kuchat naye kwenye facebook na JF, badala ya kumtumia barua kwa njia ya posta inayochukua mwezi mmoja kumfikia!
 
Hii imetulia sana. Ila usi undermine watu. Mimi hii naiona ni group discussion! Tena kila mmoja anaonesha ushiriki mkamilifu (active participation)
 
Kwa maisha hayo hiyo PC ikiisha charge wanachajia wapi?
 
i
View attachment 21350
Hapa ndiyo kijijini kwetu nilipompelekea Babu Laptop ili naye niweze kuchat naye kwenye facebook na JF, badala ya kumtumia barua kwa njia ya posta inayochukua mwezi mmoja kumfikia!

babu ni retired servant..anawasomea wanafamilia barua pepe from mjukuu BigBro!
globalisation....google translator nafanya kazi
charging ni solar system
 
Mbona babu yako inaonekana ni kama nae anaishangaa na hajui afanye nayo nini?Kwa jamii kama hii kuwapelekea kitu kama hiki ni kuwaonea maana hawaelewi,bora hata tv wawe wanashangaa
 
Mbona babu yako inaonekana ni kama nae anaishangaa na hajui afanye nayo nini?Kwa jamii kama hii kuwapelekea kitu kama hiki ni kuwaonea maana hawaelewi,bora hata tv wawe wanashangaa

Babu hashangai, ilikuwa inachelewa kuwaka ndo akawa anasubiria!
 
Wanajiandaa ku-videochat na wa mjini ndo maana wamejipanga hivyo!
 
Labda imekumbwa na virusi
 
Nikiangalia hiyo picha naona huko kwa babu yako ni raha tu! hivi wanahabari hata kama kuna mafisadi wanaumiza mioyo yetu jamanai, yaani wanaraha sana hao, yaani tulipe au tusilipe dowans wao wala hawana habari mkitataka muendelee na katiba hii hii aa hiyo nyie tu.. nawaonea wivu sana..
 
kwa huu mwendo wa downs, tutawafikia tu hawa soon
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…