Hivi haya maandiko yana maanisha hivi?

Kwa hiyo wewe kama wewe hujui?

Ninachojua ni kwamba maji katika bahari na mito hupigwa na joto la jua na kuwa mvuke au hewa yenye unyevunyevu, huo mvuke huenda juu na kupoa na unarudi kwa matone ya maji ambayo ndo mvua...as to why it rains on oceans, may be its just a part of rain circle since the rain comes from oceans..
 
Sijakuuliza mvua ni nini,nimekuuliza,ni nini lengo la mvua kunyesha baharini!
 
My dearest Adam, unaonaje ukaanze kumenya ndizi wewe halafu nije kukusaidia? Mimi si msaidizi, meaning l help you in everything na sipaswi kuanzisha chochote bali kusaidia. Au? Sijaelewa vizuri nini?

Mmwaahhhh!!!!
 
My sweetie Hawa,kusaidia kuna maana hii,badala ya kufanya kazi zote,mfano,kutafuta pesa,kufua,kupika,kusimamia ile nyumba yetu kule kilimahewa,kufanya ile project yetu mpya,kwenda Oslo kukutana na wale wafanyabiashara ili tuangalie kama tunaweza kuiongezea kampuni yetu uwezo n.k,utanisaidia kufanya yafuatayo,utasimamia ujenzi wa nyumba,utaenda Oslo kukutana na hao jamaa,utasimamia mambo ya nyumbani kama vile msosi n.k halafu the rest nitafanya mimi,sawa mke wangu mpenzi!mwaaah!
 
Eiyer, nashukuru kwamba umeleta mada ambayo kimsingi ni muhimu sana. Shukrani kwa my loving sweet mother,
gfsonwin, for her comments. She is so loving and believe me you can even read that from her comments. Love u mom.

Sasa kuna mambo machache hapa niyaseme

Uumbaji wote ulifanywa kwa neno. Yaani Mungu anasema na iwe hivi na inakuwa. Neno hilo hilo linatumika kumfanya

'MTU". Ukisoma vizuri hiyo verse utagundua ( u may read different versions) inasema na tumfanye mtu (singular)

kisha wakatawale (plural). Kumbe anayeumbwa ni Mtu (mmoja) ila purpose yao ni wakatawale (plural).

Chapter one inazungumzia generally uumbaji. Utagundua mtu ameumbwa siku moja. And from me it was a process.

Chapter 2 inatoa details za uumbaji. Na tunaelezwa namna Mtu alivyoumbwa. In the process of creation Gen 2:18

Mungu akaona si vyema mtu akae peke yake. Akafanyiwa msaidizi wa kufanana nae! The two wakawa one perfect human

kind.

Hivyo basi
1. Man and Woman, as a married couple are called for the greater purpose, higher call, far beyond sex! Sex of course

helps them to fulfill one of the purpose. It is also made to ensure that couples do not get bored while fulfilling their call.

It is made as sign of unity and oneness for the couple.

2. When married, man and woman fulfill one call. One purpose.

3. A woman wasnt created inferior to man but as an important part in fulfilling the call! As men, we should not look

women as our subordinates but as important part of ours in fulfilling our purpose.

4. And to that end, we stand in equal footing but with different capacities. Husband as a leader of the family and

not the boss or the manager
 
Last edited by a moderator:

Ronn M love you ma sweet son.
 
Last edited by a moderator:
Nawe my Adamu Eiyer uwe unaweka mambo in a plain inglishi ili nami nielewe. Au unaonaje tukikaa halafu tuje na our own definition ili tuzidi kushamiri katika kukusaidia uachieve kile Mungu alichopanga tu.. aah nilisahau uachieve?

Ila nimependa definition ya Ronn.
 
Last edited by a moderator:
[QUOTE=Haven;418
 
Ronn,gfsonwin na my love Kaunga,hebu niambieni,kati ya mwanaume na mwanamke nani alianza kuumbwa?Je lengo la kuumbwa mwanaume ni lile lile na la mwanamke?Ronn umeniambia kuwa Adam aliumbwa akatawale,sorry i don't buy that!Nahitaji jibu lingine!
 
Do u remember ur chatecism?
"Mungu ametuumba ili tumjue, tumpende, tumtumikie na mwisho tufike kwake mbinguni"

Haya katika kitabu cha genesis, lengo kuu la mwandishi ni kuonesha kuwa mwanamume alianza kuumbwa kabla ya mwanamke au kuonesha how everything came into existance?

Kwangu mimi it doesn't matter nani alianza, mwandishi angekuwa mwanamke huenda details zingekuwa tofauti ingawa main theme ingeremain the same.
 
Sory,my wife,am a catholic but hiyo sababu ya kumjua Mungu kisha tufike kwake mbinguni,siikubali kabisa.Suala la nani kaanza kuumbwa ni kweli sio ishu,ishu ni kwanini tuliumbwa,ndipo linapokuja swali mwanamke lengo lake hasa ni lipi. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .Kimaandiko,mwanamke na mwanaume(kwa mtazamo wangu)wameumbwa kwa malengo tofauti,mwanamke amekuwepo baada ya mwanaume kuhitaji msaidizi.Hii ina maana kwamba kwenye hesabu ya Mungu mwanamke hayupo,ila Mungu alimuumba kwaajili ya Adam tu,amsaidie.That the point.Adam asingehitaji msaidizi kusingekua na mwanamke leo.Correct me if am wrong! . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .0. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .Suala la uandishi wa biblia,hata angeandika nani,kusingekua na mabadiliko!
 
Ronn,gfsonwin na my love Kaunga,hebu niambieni,kati ya mwanaume na mwanamke nani alianza kuumbwa?Je lengo la kuumbwa mwanaume ni lile lile na la mwanamke?Ronn umeniambia kuwa Adam aliumbwa akatawale,sorry i don't buy that!Nahitaji jibu lingine!
Eiyer, sina jibu lingine zaidi ya linalopatikana Gen 1:26. Human being is created to have a dominion over the world. All

other things have to subordinate to him. He was created to bring the Image of God in this world! About nani wa kwanza

ukisoma vyema Gen 1&2 utagundua walifanywa in process. Man first followed by woman later
 
Last edited by a moderator:
Eiyer nitazungumzia mambo 2 tu.
1. Kuwa Mungu alimuumba mwanamke by the way tu, nabisha. Mungu nimjuaye mimi anajua kila kitu kilichotokea na kitakachotokea coz he is the source of everything. Na kila kitu kiko kwenye mpango wake.

2. Napingana na wewe kuhusu, muandishi wa kitabu kutokuwa na influence ya hicho kilichoandikwa. Check vitabu vya injili, vimeandikwa na watu 4 ambao wote kwa namna moja au nyingine wameyashuhudia maisha ya Kristu duniani, lkn style hata machaguo ya maneno ni tofauti. Yohana amejifagilia sana kwa kujiita 'yule aliyependwa na Yesu', Marco alikuwa na shule hata kitabu chake kinapotray hiyo.

Imagine na Maria Magdalena naye angeandika injili ingekuwaje?

Assume pia Yesu angezaliwa kwa wa Maasai, au kama kuna Kabila ambalo wanawake ni dominant (najua aina za wanyama tu ambao female huwa dominant), biblia tuisomayo ingekuwa tofauti.
 
Hii ni hadithi ya kufikirika ya kiyahudi(folk/myth)ikijaribu kueleza mwanamke katokea wapi
 
Mpenzi Kaunga,unaposema Mungu ni source ya kila jambo na kila jambo liko kwa mpango wake,unaibua maswali ambayo pengine majibu yake utashindwa kuyajibu. . . . . . . . . . . . . . . . . ? . . . . . . Kama Mungu ni source ya kila jambo,Je,ni source ya ubaya?Kama kila jambo ni mpango wa Mungu,Je dhambi ni mpango wa Mungu?Nahitaji sana majibu yako kwenye maswali haya mawil. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . Kuhusu waandisi na influance yao,nitakukatalia kwa mtazamo ulioleta wa kujifagilia,kama sikosei unataka kuniambi kuwa waandishi wa Biblia wamemkandamiza mwanamke kwa sababu wao ni wanaume.Kwa mtazamo wako huu unaondoa dhana nzima kabisa kuwa waandishi hao walivuviwa na roho mtakatifu walipokua wanafanya hayo.Kwa sababu waliandika mawazo yao,sidhani wewe kama mkristo utakubali. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .Pia nakuambia hata kama Yesu angezaliwa kwa Wahindi,lengo na Biblia ingekua ileile,influance ninayoiona kwenye biblia ni mazingira tu na si nyingine!
 
Ronn,Do u realy think that ilikua tu process man first?Hebu niambie hapa Mungu alimpomletea Adam wanyama wote ili aishi nao mpaka alipoona "hakuna wa kumfaa" bado ilikua tu ni process?Hebu acha utani!
 
Hii ni hadithi ya kufikirika ya kiyahudi(folk/myth)ikijaribu kueleza mwanamke katokea wapi

Hata wewe pia haupo,hauexist kabisa.Hakuna kitu kama wewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…