Eiyer, nashukuru kwamba umeleta mada ambayo kimsingi ni muhimu sana. Shukrani kwa my loving sweet mother,
gfsonwin, for her comments. She is so loving and believe me you can even read that from her comments. Love u mom.
Sasa kuna mambo machache hapa niyaseme
Uumbaji wote ulifanywa kwa neno. Yaani Mungu anasema na iwe hivi na inakuwa. Neno hilo hilo linatumika kumfanya
'MTU". Ukisoma vizuri hiyo verse utagundua ( u may read different versions) inasema na tumfanye mtu (singular)
kisha wakatawale (plural). Kumbe anayeumbwa ni Mtu (mmoja) ila purpose yao ni wakatawale (plural).
Chapter one inazungumzia generally uumbaji. Utagundua mtu ameumbwa siku moja. And from me it was a process.
Chapter 2 inatoa details za uumbaji. Na tunaelezwa namna Mtu alivyoumbwa. In the process of creation Gen 2:18
Mungu akaona si vyema mtu akae peke yake. Akafanyiwa msaidizi wa kufanana nae! The two wakawa one perfect human
kind.
Hivyo basi
1. Man and Woman, as a married couple are called for the greater purpose, higher call, far beyond sex! Sex of course
helps them to fulfill one of the purpose. It is also made to ensure that couples do not get bored while fulfilling their call.
It is made as sign of unity and oneness for the couple.
2. When married, man and woman fulfill one call. One purpose.
3. A woman wasnt created inferior to man but as an important part in fulfilling the call! As men, we should not look
women as our subordinates but as important part of ours in fulfilling our purpose.
4. And to that end, we stand in equal footing but with different capacities. Husband as a leader of the family and
not the boss or the manager