wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Habari za siku nyingi wadau..na poleni kwa yanayoendelea hapa nchini.
Nilikuwa nauliza haya mabango ya "jiunge fremason au mganga wa jadi kutoka labda tanga tunayokutana nanyo kwenye baadhibya nguzo za umeme au kuta za nyumba pembezoni mwa badabara hivi ni watu wa kawaida wanabandika au ni wahusika wenyewe.
Sijawahi ona au shughudia maana unakuta tuu tayari bango limewekwa.
Je huwa wanabandika saa ngapi