Huwa wanabandika usiku.Niliwahi kuwafuma maeneo ya Fire kuelekea MuhimbiliHabari za siku nyingi wadau..na poleni kwa yanayoendelea hapa nchini.
Nilikuwa nauliza haya mabango ya "jiunge fremason au mganga wa jadi kutoka labda tanga tunayokutana nanyo kwenye baadhibya nguzo za umeme au kuta za nyumba pembezoni mwa badabara hivi ni watu wa kawaida wanabandika au ni wahusika wenyewe.
Sijawahi ona au shughudia maana unakuta tuu tayari bango limewekwa.
Je huwa wanabandika saa ngapi
Wana vichwa viwiliNi watu wa kawaida?
Pia wana mikia๐ ๐Wana vichwa viwili
Mkakati wa rulersHabari za siku nyingi wadau..na poleni kwa yanayoendelea hapa nchini.
Nilikuwa nauliza haya mabango ya "jiunge fremason au mganga wa jadi kutoka labda tanga tunayokutana nanyo kwenye baadhibya nguzo za umeme au kuta za nyumba pembezoni mwa badabara hivi ni watu wa kawaida wanabandika au ni wahusika wenyewe.
Sijawahi ona au shughudia maana unakuta tuu tayari bango limewekwa.
Je huwa wanabandika saa ngapi
Kawaida kabisaNi watu wa kawaida?
Freemason wenyeweNani alikupa hiyo tenda
UsikuHabari za siku nyingi wadau..na poleni kwa yanayoendelea hapa nchini.