MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Aisee hili dude nakumbuka mdogo wangu wa kike alikuwaga nalo na muda wote alikuwa analicheza muda wote yani. Lilikuwa linanikera na makelele yake, unakuta umelala usiku au unatafuta usingizi unasikia chumba cha pili, byu, byu, pyu. Kuna mhuni akapita nalo akaenda kuuza kwe wenzake huko shuleni, nilifurahi sana.