HIVI HAYA MADUDE BADO YAPO ??

MALCOM LUMUMBA

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
21,113
Reaction score
65,124




Aisee hili dude nakumbuka mdogo wangu wa kike alikuwaga nalo na muda wote alikuwa analicheza muda wote yani. Lilikuwa linanikera na makelele yake, unakuta umelala usiku au unatafuta usingizi unasikia chumba cha pili, byu, byu, pyu. Kuna mhuni akapita nalo akaenda kuuza kwe wenzake huko shuleni, nilifurahi sana.
 

Attachments

  • brick Game.jpg
    9.4 KB · Views: 44
Juzi kuna madogo wa shule ya msingi niliwaona nalo, wamekaa kwenye kikundi wanalicheza...

Kipindi nikiwa secondary nikiwa hom sina mishe najifungia ndani nalipiga kimya kimya...
Aisee mkuu, na wewe umelicheza hili ?
Mimi nilikuwa nagombana sana na dogo, hata kula hali, kusoma hataki yeye analicheza tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…