Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Nakumbuka J.P.Magufuli alipiga marufuku haya maduka naona yanazidi kuongezeka anyway sio mbaya.
Mbaya ni malalamiko yanayoendelea hosptitali Dk anaandika dawa anakwambia nenda pharmacy. Unaenda wanakupa dawa mbili, 4 anakwambia nenda nje kuna duka linaitwa xxx pharmacy utazipata hapo
Swali ni iweje yale maduka yanapatikana dawa halafu hospt wakose??
Je haya maduka ni ya nani kifupi tusaidie wananchii yanatesa sana wananchi
Sio wote wana uwezo wa kulipa pale pharamcy