Kwa herufi kubwa?NAKUMBUKA
HON J.P.MAGUFULI ALIPIGA MARUFUKU HAYA MADUKA
NAONA YANAZIDI KUONGEZEKA ANYWAY SIO MBAYA
MBAYA N MALALAMIKO YANAYOENDELEA HOSPT..DK ANAANDIKA DAWA ANAKWAMBIA NENDA PHARMACY
UNAENDA WANAKUPA DAWA MBILI..4 ANAKWAMBIA NENDA NJE KUNA DUKA LINAITWA XXX PHARMACY UTAZIPATA HAPO
SWALI N IWEJE YALE MADUKA YANAPATIKANA DAWA ALAFU HOSPT WAKOSE??
JE HAYA MADUKA N YA NANI KIFUPI TUSAIDIE WANANCHII YANATESA SANA WANANCHI
SIO WOTE WANA UWEZO WA KULIPA PALE PHARAMCY
Unapiga marufuku maduka ya dawa na huku hospitali haina dawa? Achaneni na akili za kimaskini. Watu wanaweka biashara sehemu palipo wateja. Halafu unahoji eti iwaje hospitali wakose dawa na duka liwe nazo. Kwani hujui kuwa hospitali ili iwe na dawa lazima ikanunue hivyo hivyo na walio na maduka wananunua? Sasa kama hospitali imeshindwa kwenda kununua dawa kwanini utupie lawama kwa wasio husika?Nakumbuka J.P.Magufuli alipiga marufuku haya maduka naona yanazidi kuongezeka anyway sio mbaya.
Mbaya ni malalamiko yanayoendelea hosptitali Dk anaandika dawa anakwambia nenda pharmacy. Unaenda wanakupa dawa mbili, 4 anakwambia nenda nje kuna duka linaitwa xxx pharmacy utazipata hapo
Swali ni iweje yale maduka yanapatikana dawa halafu hospt wakose??
Je haya maduka ni ya nani kifupi tusaidie wananchii yanatesa sana wananchi
Sio wote wana uwezo wa kulipa pale pharamcy
Mkuu sijakataaUnapiga marufuku maduka ya dawa na huku hospitali haina dawa? Achaneni na akili za kimaskini. Watu wanaweka biashara sehemu palipo wateja. Halafu unahoji eti iwaje hospitali wakose dawa na duka liwe nazo. Kwani hujui kuwa hospitali ili iwe na dawa lazima ikanunue hivyo hivyo na walio na maduka wananunua? Sasa kama hospitali imeshindwa kwenda kununua dawa kwanini utupie lawama kwa wasio husika?
Ukikuta hospitali haina dawa mtafute mkurugenzi wa hospitali, mkuu wako wa wilaya, mkuu wa mkoa, waziri, raisi n.k maana hao ndio wanachukua kodi yako ili wakupatie huduma. Acha kusonga watu walioamua kutumia maarifa na uwezo wao kuona fursa na kuzitumia.
Umenifilisi nilichokuwa nataka nimshauri huyo mjinga. Hosp Haina dawa badala waihoji serikali kwanini vituo vya kutolea huduma za afya hazina dawa wao wanakimbilia kumlaumu aliyechukua fursa ya kuuza dawa. Wakati mwingine hata washukuru waliosogeza maduka karibu maana hata kama yangewekwa kilomita kumi kutoka ilipo hospital as long as ameagizwa akanunue dawa Kwa sababu ya upungu wa dawa hospital ingebidi aongezee pia na pesa ya usafi kufuata hayo maduka 10kmsUnapiga marufuku maduka ya dawa na huku hospitali haina dawa? Achaneni na akili za kimaskini. Watu wanaweka biashara sehemu palipo wateja. Halafu unahoji eti iwaje hospitali wakose dawa na duka liwe nazo. Kwani hujui kuwa hospitali ili iwe na dawa lazima ikanunue hivyo hivyo na walio na maduka wananunua? Sasa kama hospitali imeshindwa kwenda kununua dawa kwanini utupie lawama kwa wasio husika?
Ukikuta hospitali haina dawa mtafute mkurugenzi wa hospitali, mkuu wako wa wilaya, mkuu wa mkoa, waziri, raisi n.k maana hao ndio wanachukua kodi yako ili wakupatie huduma. Acha kusonga watu walioamua kutumia maarifa na uwezo wao kuona fursa na kuzitumia.
Wasamehe ndugu ni akili za kimaskini na wivu uliopitiliza, anataka wenye pharmacy wakakodi frem coco beach ndio ataona rahaUmenifilisi nilichokuwa nataka nimshauri huyo mjinga. Hosp Haina dawa badala waihoji serikali kwanini vituo vya kutolea huduma za afya hazina dawa wao wanakimbilia kumlaumu aliyechukua fursa ya kuuza dawa. Wakati mwingine hata washukuru waliosogeza maduka karibu maana hata kama yangewekwa kilomita kumi kutoka ilipo hospital as long as ameagizwa akanunue dawa Kwa sababu ya upungu wa dawa hospital ingebidi aongezee pia na pesa ya usafi kufuata hayo maduka 10kms