Hapa inabidi unifafanulie kidogo.Elimu ya utambuzi wa vitu vya kawaida kuna tofauti kubwa sana kati ya mgeni wa jf na mwenyeji wa jf kuanzia lugha hadi upangaji wa maneno yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Herufi mbili "rr" ukiziamka unatikiwa kukaza ulimi. Yaani ulimi wa mbele uguse fizi za juu na utanuke kwa ndani uguse upande wa kulia na kushoto wa mashavu.
Zoezi lote la phanalogi la nini...huyu ni mmeHerufi mbili "rr" ukiziamka unatikiwa kukaza ulimi. Yaani ulimi wa mbele uguse fizi za juu na utanuke kwa ndani uguse upande wa kulia na kushoto wa mashavu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuwa nampa faida kidogo.Zoezi lote la phanalogi la nini...huyu ni mme
nafikiri ni ME, Zurri alikua ni mtoto wa pili wa King Jhobu wa WAKANDA kama sikosei.
Mleta mada anachanganyikiwa na avatar yako!!
Sio kweliHuwa napitia baadhi ya maoni ya wadau kadha wa kadha na kuona ishara ya watu kuwa wapo kwenye mahusiano. Swali je huwa ni ya kweli au mizaha ya kusogeza siku tu... ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Jibu ni AuHuwa napitia baadhi ya maoni ya wadau kadha wa kadha na kuona ishara ya watu kuwa wapo kwenye mahusiano. Swali je huwa ni ya kweli au mizaha ya kusogeza siku tu... ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijapaniki bro ! Sema humu naona sanaa lukuki ndio maana nikataka kujua kama ni kweli au mzaha.Acha kupaniki bwana mkubwaa, unafikiri wa humu JF ni very special kuliko huko unakoishi??
Wengine usalama humu, wanakunyegesha ole wako ujipeleke PM
hahahahaTafuta Bwana uone kama ni kweli au uongo.
Naona unaiga kuandika sio ?Kama yangu na yako
In this life there are two things either you adapt if not you have choosen to perish... think