NMB wanafanya makato ya ajabu sana tena wanafanya mara mbili mbili. Kwa transaction moja. Nilienda kurepoti tatizo hili wakaniambia niandike barua watarudisha lakin hawakurudisha na ndio kwanza naona wanaendelea kufanya makato transaction moja mara tatu.
Na sasaivi nimeona wameongeza kitu chengine kinaitwa mkononi inactive fee nacho wamekata hela na Kodi jui sasa sijui ndo nn sijui ndio kwasababu situi NMB mkononi au kitu Gani ila wamelamba hela. Em wadau fatilieni account zenu za NMB naona tunaibiwa.
Kuanzia sasa sitoweka hela tena zikiingia natoa zote kwa maramoja au nitaamisha benki ingine labda mpk nisikie wamerekebisha.