Hivi haya mashindano ya Ndondo Cup ni ya kuibua Vipaji au yanaibua Wahuni wa muda mrefu waliotukuka?

Maadili yazingatiwe bwana ktk Ndondo cup ili hata huko waendako nidham iwepo..leo usishangae baadhi yaWacheji wanaenda kumpiga referee hizo ni dalili zote za upungufu wakinidham.binafc napngna na wale ealionitngulia kwa thread zao
 
Nikisikia kuhusu ndondo cup, namkumbuka bwana makonda alivyokuwa closer na clouds media wakati huo.

Kweli maisha yanabadilika, na sisi yatupasa kuwa tayar kwa mabadiliko muda wowote.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Jerryyyy
 
Nayachukia mashindano haya na ndo kila muda yanasemwa, clouds fm kwenye kipindi chao wameyapa kipaumbele wanaudhi
 
Mi napenda kasingeli flan wanaimba
"Nikienda ulaya sirudi bongoooo,
Bongo bahati mbayaaaa"
 
kama mambo yenyewe ndo haya unahaki ya kulalama
 
Hao masela ni wa uswahili mzee 'nazi ugoko', 'chai bangi', 'gongo utumbo',
Washkaji zake MBWIGA MBWIGUKE mkwala wa nyani kibwaya
 
Ndondo cup haitasimama hata ikipingwa na dunia nzima
 

Nawe ni mwanaume au kwakuwa unajinsia ya kiume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…