KERO Hivi haya mateso ya kujaza gasi kwenye magari yanamnufaisha nani!? Sio figisu za wauza mafuta kweli!?

KERO Hivi haya mateso ya kujaza gasi kwenye magari yanamnufaisha nani!? Sio figisu za wauza mafuta kweli!?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

The Phylosopher

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2015
Posts
1,968
Reaction score
2,957
Nimetafakari sana hizi foleni za kuweka gas naona kama kuna hujuma za wauza mafuta, iweje mpaka sasa tuwe na vituo vitatu tu.

Sio kwamba upatikanaji wa gas kwa wingi unaathiri uuzwaji wa mafuta!?
 
Wajanja wa mjini wamewaingiza mkenge watu kubadilisha mifumo ya magari yao na sasa wanajuta kwa urasimu wa kujaziwa hiyo gesi.

Mimi nataka kujua, kuna gari yeyote ya serikali inatumia mfumo wa gesi? Kwa nini?
 
Back
Top Bottom