T The Phylosopher JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 1,968 Reaction score 2,957 Oct 2, 2024 #1 Nimetafakari sana hizi foleni za kuweka gas naona kama kuna hujuma za wauza mafuta, iweje mpaka sasa tuwe na vituo vitatu tu. Sio kwamba upatikanaji wa gas kwa wingi unaathiri uuzwaji wa mafuta!?
Nimetafakari sana hizi foleni za kuweka gas naona kama kuna hujuma za wauza mafuta, iweje mpaka sasa tuwe na vituo vitatu tu. Sio kwamba upatikanaji wa gas kwa wingi unaathiri uuzwaji wa mafuta!?
Msanii Platinum Member Joined Jul 4, 2007 Posts 25,252 Reaction score 36,513 Oct 2, 2024 #2 Wajanja wa mjini wamewaingiza mkenge watu kubadilisha mifumo ya magari yao na sasa wanajuta kwa urasimu wa kujaziwa hiyo gesi. Mimi nataka kujua, kuna gari yeyote ya serikali inatumia mfumo wa gesi? Kwa nini?
Wajanja wa mjini wamewaingiza mkenge watu kubadilisha mifumo ya magari yao na sasa wanajuta kwa urasimu wa kujaziwa hiyo gesi. Mimi nataka kujua, kuna gari yeyote ya serikali inatumia mfumo wa gesi? Kwa nini?