Rais haisubiri siku ya kusomwa Bungeni.Bajeti kuu ya Serikali inasomwa bungeni,huku Rais wa nchi akiwa yuko kuzurura nchi za nje?
Kwenye nchi za wenzetu huko wanakojielewa hili suala huwa lipo kweli?
Kwanini aifuatilie sasa huko aliko, muda inasomwa?Rais haisubiri siku ya kusomwa Bungeni.
Elewa maana ya taasisi,anawashauri wa kiuchumi,kijamii, Mazingira,Afya etc..... kwahiyo siyo kila kitu anafanya RaisKwa hiyo yeye huwa anasimuliwa tu?
Kwa technology iliyopo sasa hivi kuifahamu hiyo bajeti unadhani na yeye anasubiri kuisikiliza leo kama mimi na wewe? Kwa utaratibu hiyo bajeti huwa inajadiliwa almost the whole week kabla ya kupitishwa. Sasa siku zote hizo unadhani bado atakuwa yuko nje ya nchi?Kwanini aifuatilie sasa huko aliko, muda inasomwa?
Utetezi mwingine kusema ukweli haufanani na great thinker.
Hata kama tunamkubali, ifike mahali tumwambie ukweli
Ahaa, basi kumbe hata yule tunayemlaumu ambaye hayuko nasi duniani; kuna ambayo hakuyafanya yeye bali wasaidizi wake. Hahahahaaaa!Elewa maana ya taasisi,anawashauri wa kiuchumi,kijamii, Mazingira,Afya etc..... kwahiyo siyo kila kitu anafanya Rais
Watanzania tunaambiwa shilingi ya Tanzania imepanda thamani dhidi ya Dola (Usd) kwa 0.03.....Bajeti kuu ya Serikali inasomwa bungeni,huku Rais wa nchi akiwa yuko kuzurura nchi za nje?
Kwenye nchi za wenzetu huko wanakojielewa hili suala huwa lipo kweli?
Nongwa za huyo jamaa ndio zinamfanya aulize maswali ya kitoto.Elewa maana ya taasisi,anawashauri wa kiuchumi,kijamii, Mazingira,Afya etc..... kwahiyo siyo kila kitu anafanya Rais
Rais hayuko kuzurura nchi za nje bali amekwenda kusalimia wajomba zake. Hata Obama alikuwa anakwenda kusalimia huko kwao mababu zake KogeloBajeti kuu ya Serikali inasomwa bungeni,huku Rais wa nchi akiwa yuko kuzurura nchi za nje?
Kwenye nchi za wenzetu huko wanakojielewa hili suala huwa lipo kweli?
Rais ni mkubwa wako km mzazi vile vile!!! usiseme ana zurura!!! na usirudie tena tutakushikisha adabu sie!Rais wa nchi akiwa yuko kuzurura nchi za nje?
je huko Oman anao muda wa kuangalia bajeti au mjombake anazurura nae mitaani kumuonesha wajomba na babu zake na makaburi yao? bro hujaamua kufikiri!!Teknolojia ipo mkuu. Huku inasomwa yeye anaipata mubasharaa kupitia luninga huko uarabuni....amna kilichaharibika hapo