Hivi Haya ni halali kwa Diamond?

Watu mliomzunguka diamond mnampotosha sana..hivi unajua kukandia hospitali za mbeya au kukandia simu kama techo kunaathiri vipi biashara za watu..!!! Waulizeni watu wa marketing watawasaidia..

Yeye na demu wake wote akili hawana yaani wanshindwa kujua kuwa wenye tecno na huawei ndio kundi la watu wanaomshangilia mumewe akienda kwenye matamasha,matokeo yake anaropoka kama ngonjwa wa akili.kisa ana kasimu ka milioni,ngoja watu wawaonyeshe kuwa wamevurugwa na majivuno yao.
 

Mbona simchukii jide,au prof jay kwani hawa nao wamefuria au nao hawajielewi???.

Kufanikiwa kusikufanye uwe na vijidharau ambavyo havina maana.vikauri vidogo vidogo kama hivyo huwa vinavunja ndoa pia.unaweza chukulia poa kumbe watu wamepokea tofauti sana.
 
Last edited by a moderator:
Ndo ushangae sasa.!!! USHAMBA huo umetokea mjini...

We have a long way to go.

CCM itatawala DAIMA.
 

Hili kumbe ni dogo eeh!,kiba na yeye akileta ufala tupa kule kwan ni nani na yeye,unatupa burudani tunafurahi,tunakushangilia unapata bichwa unaleta za kuleta tunakuzogoa.that is it.

Na mwenzio akijua kawashika watu hawapindui kwake.akatinga kikamanda full jujikoki alichokikuta hatasahau naona.

Ajifunze kuwa wabongo sio wakuwachukulia poa kiivyo.
 
Alisema Mbeya hakuna hotel yenye hadhi yake kulala. Hivi kweli hata Hill View haimfai kwa accomodation pale Mbeya? Au ndo yale kwamba lazima iwe na lift?

Aliyeandika uzi huu inaelekea ni kati ya management team ya Domo, ambao wameshindwa kumwongoza ipasavyo. Anachosahau Domo ni kuwa anaowadharau leo ndiyo hao hao waliomuibua kutoka tandale, na umaskini wao. Umaarufu wa mwanamuziki unatokana na support wapenda muziki, maskini na matajiri.
Anapoiponda Mbeya, kwa mfano, anataka kutuaminisha kuwa yeye ni bora kuliko mawaziri wanaoenda huko na kulala kwenye hizo hotel anazoona yy kuwa hazimfai? Management team yake imeshindwa kazi. Yatampata yaliyompata Muumini Mwinjuma, muda si mrefu.
 
Alisema Mbeya hakuna hotel yenye hadhi yake kulala. Hivi kweli hata Hill View haimfai kwa accomodation pale Mbeya? Au ndo yale kwamba lazima iwe na lift?

Huyo domo asijishaue mbele za watu bana alaah! Kwani mbona alikua analala guest ya buku8 pale sinza kumekucha inaitwa (elizabet lodge) walipokua wanakaa machangudoa wa ambianc, tena na yeye ndomo alikua anaishi pale guest na dem mmoja wa ki'tanga anaitwa tuti na huyo tuti ndio aliemtoa ndomo kimziki na ile nyimbo yake ya MBAGALA aliitungia pale pale ELIZABET LODGE haya leo iweje aseme mbeya amna hotel ya adhi yake? Tena alikua mtu wa kukaa ndani dem wake anaenda kuuza mwili akirud domo ndo anamfungulia mlango alafu asubuhi anapewa hela ya kula buku5. Kama kuna mtu anabisha naomba aende pale ELIZABET akaulize story za domo ataambiwa A2Z. ELIZABET LODGE ipo mtaa wa LION HOTEL
 

Big up, mkuu umeelezea vizuri na umeelewekaaaaaaaa!!
 
Kuzomewa kwake Diamond sijashangaa coz hata wakina Lil wyne wanazomewa na hata kufikia hatua ya kupigwa na chupa tena kwenye nchi za watu, Je kuhusu kusema kwamba amesema Mbeya hakuna hotel ya yenye hadhi yake alisema lini?na je hiyo cku alivyokuja Mbeya alirudi cku hiyo hiyo dar? na je wakati alivyokuja Clinton alilala bongo na kwa nin hakulala hapa na alivyorud mara ya pili watu hawakumzomea? na kwa nin kama wabongo hatupendi kudharauliwa hatuonyeshi kwa wanasiasa wetu (andrew chenge = vijisenti, balali amekufa bila ushahidi) hatuwazomei majukwaani, au ni unafiki wetu wabongo kwa kutopenda masikini mwenzako afanikiwe?
Watanzania Tujarib kujifunza uthamani wa mtu akiwa hai isije tokea kama ya marehem Kanumba kumuona anathamani alipokufa watu wakijaa kwenye msiba wakati alipokuwa hai wakumsapot kwenye kazi zake ni wachache huku kumsema vibaya ni wengi eg. alipoemteuliwa kwenye ufunguzi wa mashindano ya Big brother.
 

Ahajaaaa my Godliness i hv never even met diamond for private talk,nilichokisema hapo ni swala zima la namana runavyoshabikia wasanii kama wanasiasa,
Swala la yeye kuhusuhwa na shutuma hayo ni maisha yake binafs ambayo kwanza hayana ukweli wwte
 
Sijui kwa nini hao wapambe wake wnashidwa kuliona hilo..
 
Ahajaaaa my Godliness i hv never even met diamond for private talk,nilichokisema hapo ni swala zima la namana runavyoshabikia wasanii kama wanasiasa,
Swala la yeye kuhusuhwa na shutuma hayo ni maisha yake binafs ambayo kwanza hayana ukweli wwte
Mkuu embu msome mshkaji hujamwewa kabisa
 
Sijui kwa nini hao wapambe wake wnashidwa kuliona hilo..

Kwa wenzetu ni watu wanaajiriwa special kwa taaluma hiyo,sasa bongo unajaza washkaji wa kitaa.matokeo yake ni kujibu vijembe na watusi ya watu kwa kwenda mbele.hamna mshauri wala muonyaji.
 
Akina chenge na sita kuna hadhara wakienda wanazomewa..kanumba hakuna mtu alishawahi kumzomea au kumdharau akiwa hai..kwani i hamtaki kuface ukweli..!?
 
Nyie watu mbona mnamatatizo sana..mwanamziki atakuaje juu bila kuheshimu mashabiki..?!!!
 
Akina chenge na sita kuna hadhara wakienda wanazomewa..kanumba hakuna mtu alishawahi kumzomea au kumdharau akiwa hai..kwani i hamtaki kuface ukweli..!?

Mbonaa nimekiri kuzomewa kupo wala cjashangaa mm point yangu ni kwamba tusiwazomee/ kuwasema vibaya vijana wa kitanzania anayejikwamua kiuchumi kwa sanaa anayofanya iwe diamond, kiba, hasheem na wengine wengi ila kwa wale wanaokwenda kinyume na maadili na kula hela za walipa kodi.
Kuhusu Kudharauliwa/kusemwa vibaya kwa marehem Kanumba nenda kagoogle akiwa anahojiwa baada ya kutoka big brother alivyokuwa analalamikia watanzania huku machoz yakitaka kumtoka kwa kumchafua jina lake badala ya kumpa support
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…