Hivi Haya ni halali kwa Diamond?

Mkuu embu msome mshkaji hujamwewa kabisa

Nimemuelewa sana,kwanza anahc mm niko kwenye management team hilo nimemwambia sio,lakini pili nikafafanua lengu la uzi au je?
 

We muelewa sana,wezi na vibaka watafanyiwa nn km hawa tu inakuwa hv?
 
Unajua ukifanya kazi yoyote kwa kujituma tu bila maadili na heshima hufiki mbali, sio kwasababu wanajitumaa tu, lakini waa che wakikosea, mfano hao akina diamond na wenzake wanavyokandia hoteli za mbeya au kukandia simu kama techno hawawezi kuachwa kisa wanajituma tu, wao ndo wanatakiwa kujua nini maana ya brand na ni hasara gani mtu anapata ukikandia brand yake..seriously speaking mimi nawalaumu watu waliomzunguka hawajakaa kibiashara wamekaa kishabiki na umaurufu..mfanya biashara hawezi kandia brand ya mtu watu wanachukua muda mrefu sana kutengeneza brand zao..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…