Hivi Haya ni halali kwa Diamond?

Hivi Haya ni halali kwa Diamond?

Mkuu embu msome mshkaji hujamwewa kabisa

Nimemuelewa sana,kwanza anahc mm niko kwenye management team hilo nimemwambia sio,lakini pili nikafafanua lengu la uzi au je?
 
Mbonaa nimekiri kuzomewa kupo wala cjashangaa mm point yangu ni kwamba tusiwazomee/ kuwasema vibaya vijana wa kitanzania anayejikwamua kiuchumi kwa sanaa anayofanya iwe diamond, kiba, hasheem na wengine wengi ila kwa wale wanaokwenda kinyume na maadili na kula hela za walipa kodi.
Kuhusu Kudharauliwa/kusemwa vibaya kwa marehem Kanumba nenda kagoogle akiwa anahojiwa baada ya kutoka big brother alivyokuwa analalamikia watanzania huku machoz yakitaka kumtoka kwa kumchafua jina lake badala ya kumpa support

We muelewa sana,wezi na vibaka watafanyiwa nn km hawa tu inakuwa hv?
 
Mbonaa nimekiri kuzomewa kupo wala cjashangaa mm point yangu ni kwamba tusiwazomee/ kuwasema vibaya vijana wa kitanzania anayejikwamua kiuchumi kwa sanaa anayofanya iwe diamond, kiba, hasheem na wengine wengi ila kwa wale wanaokwenda kinyume na maadili na kula hela za walipa kodi.
Kuhusu Kudharauliwa/kusemwa vibaya kwa marehem Kanumba nenda kagoogle akiwa anahojiwa baada ya kutoka big brother alivyokuwa analalamikia watanzania huku machoz yakitaka kumtoka kwa kumchafua jina lake badala ya kumpa support
Unajua ukifanya kazi yoyote kwa kujituma tu bila maadili na heshima hufiki mbali, sio kwasababu wanajitumaa tu, lakini waa che wakikosea, mfano hao akina diamond na wenzake wanavyokandia hoteli za mbeya au kukandia simu kama techno hawawezi kuachwa kisa wanajituma tu, wao ndo wanatakiwa kujua nini maana ya brand na ni hasara gani mtu anapata ukikandia brand yake..seriously speaking mimi nawalaumu watu waliomzunguka hawajakaa kibiashara wamekaa kishabiki na umaurufu..mfanya biashara hawezi kandia brand ya mtu watu wanachukua muda mrefu sana kutengeneza brand zao..
 
Back
Top Bottom