Hivi Haya ni halali kwa Diamond?

Hivi Haya ni halali kwa Diamond?

mlivyokazania hilo la mbeya khaa inaonyesha wazi hamna sababu ya msingi ndio maana nmabak na hlo hilo....me naungana na mtoa mada hakukua na sababu mashabik.wa kiba kumzome diamond ni ulimbukeni wa ajabu...ila what goes around comes bak so hyo kiba wenu ajiandae as long as nae yupo kwenye nchi iliyojaa watu wanafiki,wenye wivu kupindukia wasio penda maendeleo na vigeugeu mi yangu macho mbona

word !unafiki dhambi mbaya sana ! Huwa inarudi kinyumenyume waacheni vijana wote wafanye kazi hivi hamuoni wenzetu ? Mbona nigeria wanamuziki wengi wako juu na wanakubalika kimataifa kwa nini sisi hata huyu aliyeanza tunampiga vita vya kipuuzi ??watakaofuatia ndio mtawapenda ???
 
Atleast sasa mna mzungumzia diamond kivingine sio tena habari za migegeduko yake!
 
Mlivyokazania hilo la mbeya khaa inaonyesha wazi hamna sababu ya msingi ndio maana nmabak na hlo hilo....me naungana na mtoa mada hakukua na sababu mashabik.wa kiba kumzome diamond ni ulimbukeni wa ajabu...ila what goes around comes bak so hyo kiba wenu ajiandae as long as nae yupo kwenye nchi iliyojaa watu wanafiki,wenye wivu kupindukia wasio penda maendeleo na vigeugeu mi yangu macho mbona

Ulitaka mashabiki wa Ronaldo wamshangilie Messi au wa Messi wamshangilie Ronaldo?
 
Hivi kuzomewa kwa wasanii kumeanza kuuma baada ya Diamond kuzomewa eee? Mbona kina GK na wengine wengi walikuwa wanazomewa na Muziki unaendelea kama kawaida. Tena kuna watu wanasema eti Kiba alikodi watu wamzomee Diamond, hii hainiingii akilini. Tukubali tu kuwa upepo haukua kwa Diamond kwa siku hiyo. Bado naamini Daimond ni msanii mzuri ila kuzomewa kwake isiwe gumzo la kuona yeye ndiye anayehitaji Shangwe kila siku na wengine ndio wanahaki ya kuzomewa. Hapa kulingana na hizi thread zinazotililika kama mvua inaonesha kua watu walipenda kuona Kiba anazomewa ndipo wafurahi lakini imekua tofauti.

kama umeisoma vema thread hii,utakuwa umkosea kusema hayo...kuzomea ndio lakn katka mazngira yapi?...htusemi kiba azomewe kwa lipi pia!...soma uzi.elewa then changia mkuu
 
Ulitaka mashabiki wa Ronaldo wamshangilie Messi au wa Messi wamshangilie Ronaldo?

Unajibu tu kwa sababu unajibu au unajb baada ya kumuelewa mwenzio...ww unawaza mpira tu..som uzi tena na tena then changia mkuu
 
"ME NI MTI WENYE MATUNDA MILELE SIOGOPI KUPIGWA MAWE"
Tukatae tukubali dogo ni ICON wa bongo flava!Mengine anafanyiwa mabaya yamepitiliza.Kuleta pozi mwacheni alete,kwani ni dhambi yeye kutamka kuwa hotel/kitu flani si hadhi yake??!!!
 
usigeneralize jiongelee wewe kama wewe unamkubali domo ni wewe tu..eboo
 
Mbona mimi sijaona shida Diamond kuzomewa na mashabiki sababu mashabiki hao hao kesho watakushangilia.
Mfano Kipindi kile maskimo na team ya taifa walimzomea sana kaondoka kdg wakaanza kumkumbuka,Jaja wa Yanga alipofunga 2 kwa Azam kila mtu Jaja Jaja sasa hivi muda sio mrefu wataanza kumzomea.
Hiyo ndiyo nature ya mashabiki sio bongo tuu hata ulaya unazomewa na Diamond watamzomea sana kwani yeye anapoteza nini akiandaa show watu wanajaa mpaka wanataka kuuwana.Yeye akitaka kupendwa amsubiri mama yake sio washabiki kule ni ngawira tuu.Wakisusia show hapo ndio astuke sasa ila zomea zomea aaaah .......?

Cha msingi hiyo ya kumzomea aichukulie positive isimkatishe tamaa, ndio mashabik tulivyo na hiyo sio bongo tu, Cristiano Ronaldo hadi leo kuna baadhi ya mechi huwa anazomewa kwa mashabiki kuliimba jina la mpinzan wake 'MESSI MESSI MESSI' lakini jamaa haimvunjagi moyo ndo kwanzaa inampa mori wa kupiga ma-hatitrick
 
Too much...
Hivi Diamond ndo msanii wa kwanza kuzomewa?

Bring that little much!,tulikuwa hatuelimishan ndio maana yanajirdia tene na tena...so usiishi kwa kuzoea ujinga...
 
DIAMOND ANA MAKOSA 3 MAKUBWA ALIYOTUTENDEA WATANZANIA:
1.Kosa la kwanza ni KUWA NA BIDII KWENYE MUZIKI WAKE...Hili ni kosa kubwa sana kwa Watanzania..Hakupaswa kuwa na bidii hivi..Angekuwa tu wa KAWAIDA kama wenzake waliopita ili AFULIE awaachie na wengine waje kwenye chati arudi Tandale kuuza Wali..
2.Kosa la 2 ni KUJITAMBUA YEYE NI NANI..Kwanini ajitambue wakati wenzie wenye majina walishindwa??Kwani yeye nani awe tofauti??Hii ni DHARAU KUBWA sana kwa Watanzania na Wanamuziki wenzie na inaonyesha ana KIBURI..Diamond kujua yeye ni Mwanamuziki mahiri na kutumia VALUE yake aliyoipata kwa mbinde kuiletea sifa Tanzania nje ya Mipaka ni KOSA KUBWA!
3.Kosa lake la 3 ni KUUHESHIMU MNO MUZIKI UNAOMPA HELA...Kwanini asiwe kama wakina Mr nanihii tu,kwani wao hawakuhit kama yeye?Mbona waliishi kawaida tu na kuuchukulia muziki poa hadi walipofulia na leo hata wakiingia Masai Club nobody cares..Kwani kufulia kitu gani?Diamond hakupaswa kuuheshimu Muziki kama kazi..Angefanya bora liende tu aimbe imbe yaishe..Sasa kujifanya Anatoa Collabo mara Davido mara Mafikizolo mara Trey Songs na K'Cee na Yemi Alade AMETUMWA NA NANI??Huku ni kutafuta sifa tu alipaswa awe mdogo milele awaachie na wenzie..
Kwa makosa haya ma3 WATANZANIA wameamua kumuadhibu..Diamond Anaringa...Ana dharau sana..Anaupenda sana Muziki uliompa JINA..HESHIMA..PESA..na ametafutiwa REPLACEMENT kwa sababu tu ANAHESHIMU MUZIKI KAMA KAZI na sio JUST SINGING FOR FAME...Watanzania tumeamua kuadhibu MTU ANAYEHESHIMU KAZI YAKE iliyomtoa from Zero to Hero na tutamshusha kwa lazima taji apewe mwingine..Watanzania tunataka Diamond awe another Mr Nice ili tupate kitu cha KUCOMPARE...Shida yetu kuu wala sio dharau ila ni KWANINI DAI HASHUKI????
Hardwork Pays!
Respect Pays!
Knowing Your Value Pays!
Kama alimpandisha MUNGU...Hakuna wa kumtoa pale...
Read more at Seth De Jesus Giovanni bikira_wa_kisukuma Instagram photos | Websta (Webstagram)
 
Last edited by a moderator:
sasa nimejua kwamba watu walimzomea Almasi kwa sbb anadharau sio kimuziki mana kama kimuziki Ali haingii kwa vigezo vya wenzetu ambavyo ni kuuza zaidi ya mwenzako, kupata tuzo zaidi ya mwenzako,nyimbo kupigwa /kushika nafac za juu kwa muda mrefu kwenye radio,tv &majarida ya ndani na ya nje, kuuza bidhaa (mf t shirts)&matamasha mengi ya ndani &nje n.k
 
Hivi mnajua kukandia hoteli za mbeya na kukandia simu kama techo anaharibu biashara za watu kiasi gani
 
DIAMOND ANA MAKOSA 3 MAKUBWA ALIYOTUTENDEA WATANZANIA:
1.Kosa la kwanza ni KUWA NA BIDII KWENYE MUZIKI WAKE...Hili ni kosa kubwa sana kwa Watanzania..Hakupaswa kuwa na bidii hivi..Angekuwa tu wa KAWAIDA kama wenzake waliopita ili AFULIE awaachie na wengine waje kwenye chati arudi Tandale kuuza Wali..
2.Kosa la 2 ni KUJITAMBUA YEYE NI NANI..Kwanini ajitambue wakati wenzie wenye majina walishindwa??Kwani yeye nani awe tofauti??Hii ni DHARAU KUBWA sana kwa Watanzania na Wanamuziki wenzie na inaonyesha ana KIBURI..Diamond kujua yeye ni Mwanamuziki mahiri na kutumia VALUE yake aliyoipata kwa mbinde kuiletea sifa Tanzania nje ya Mipaka ni KOSA KUBWA!
3.Kosa lake la 3 ni KUUHESHIMU MNO MUZIKI UNAOMPA HELA...Kwanini asiwe kama wakina Mr nanihii tu,kwani wao hawakuhit kama yeye?Mbona waliishi kawaida tu na kuuchukulia muziki poa hadi walipofulia na leo hata wakiingia Masai Club nobody cares..Kwani kufulia kitu gani?Diamond hakupaswa kuuheshimu Muziki kama kazi..Angefanya bora liende tu aimbe imbe yaishe..Sasa kujifanya Anatoa Collabo mara Davido mara Mafikizolo mara Trey Songs na K'Cee na Yemi Alade AMETUMWA NA NANI??Huku ni kutafuta sifa tu alipaswa awe mdogo milele awaachie na wenzie..
Kwa makosa haya ma3 WATANZANIA wameamua kumuadhibu..Diamond Anaringa...Ana dharau sana..Anaupenda sana Muziki uliompa JINA..HESHIMA..PESA..na ametafutiwa REPLACEMENT kwa sababu tu ANAHESHIMU MUZIKI KAMA KAZI na sio JUST SINGING FOR FAME...Watanzania tumeamua kuadhibu MTU ANAYEHESHIMU KAZI YAKE iliyomtoa from Zero to Hero na tutamshusha kwa lazima taji apewe mwingine..Watanzania tunataka Diamond awe another Mr Nice ili tupate kitu cha KUCOMPARE...Shida yetu kuu wala sio dharau ila ni KWANINI DAI HASHUKI????
Hardwork Pays!
Respect Pays!
Knowing Your Value Pays!
Kama alimpandisha MUNGU...Hakuna wa kumtoa pale...
Read more at Seth De Jesus Giovanni bikira_wa_kisukuma Instagram photos | Websta (Webstagram)
Watu mliomzunguka diamond mnampotosha sana..hivi unajua kukandia hospitali za mbeya au kukandia simu kama techo kunaathiri vipi biashara za watu..!!! Waulizeni watu wa marketing watawasaidia..
 
Hivi mnajua kukandia hoteli za mbeya na kukandia simu kama techo anaharibu biashara za watu kiasi gani

Tunashindwa kutengenisha mambo,je kuimba na maisha binafs vitenganishwe...Watz bna,kama kuna.kaushamba fulan hivi.kametutawala...
 
"ME NI MTI WENYE MATUNDA MILELE SIOGOPI KUPIGWA MAWE"
Tukatae tukubali dogo ni ICON wa bongo flava!Mengine anafanyiwa mabaya yamepitiliza.Kuleta pozi mwacheni alete,kwani ni dhambi yeye kutamka kuwa hotel/kitu flani si hadhi yake??!!!

Analia lia nini sasa kama anajua ye ni mti wenye matunda.sio dhambi kutamka hayo ila mashabiki hawakufurahishwa na kauli hiyo panoja na nyingine wakamuonyesha kuwa hawafagilii mambo ya wakina dada.
 
Back
Top Bottom