Sharobaro la jf
JF-Expert Member
- Apr 23, 2020
- 237
- 325
Wakuu, huyu msichana anaonyesha kila dalili kuwa hanipendi lakini nikimwambia tuachane kama vipi hatakii. Nikisema nimsemehe anaendelea na tabia zake zilezile nikisema nimpotezee ananitafuta huku analalamika.
Nitumie mbinu ipi kumuacha?
Nitumie mbinu ipi kumuacha?