Hivi haya yalishawahi kukukuta?

Hivi haya yalishawahi kukukuta?

Wakuu, huyu msichana anaonyesha kila dalili kuwa hanipendi lakini nikimwambia tuachane kama vipi hatakii. Nikisema nimsemehe anaendelea na tabia zake zilezile nikisema nimpotezee ananitafuta huku analalamika.

Nitumie mbinu ipi kumuacha?
Ivi bado unahangaika nae tu? si umuache mtu mwenyewe umemuokota mitandaoni
 
Back
Top Bottom