Hivi hela za misaada anayotoa Reginald Mengi ni kodi ambayo angetakiwa alipe?

okoyoko

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2014
Posts
2,664
Reaction score
3,641
Ni zaidi ya miaka 10 tangu nimeanza kumfahamu huyu mzee, amekuwa akitoa millions to billions of shs kuisaidia jamii na hajafulia, hivi hela anayotoa kama misaada ni hela yake ya mfukoni au ni kodi ambayo angetakiwa alipe...anaitoa kama msaada ili apate (tax exemption) kutoka kwa serikali?

nawasilisha
 
Ni sehemu ya faida makampuni yake yanayopata baada ya kulipa kodi
 
Hivi wewe una akili kweli?? Misaada ya mengi inahusiana vp na kodi
 
Katika sheria za kodi, kampuni inaweza kupata msamaha wa kodi kama imeshiriki katika kutoa misaada kwa jamii. Msamaha unategemeana sana na aina ya msahada uliotolewa kwani kuna baadhi ya misahada haikupi unafuu katika kodi. Mfano uwezi kupata msamaha wa kodi kwa kutoa msahada kwenye vyama vya siasa kwa elimu zaidi soma katiba ya kodi ya Tanzania.
Pia kampuni inaweza kupata msamaha kama inatoa msahada kwa wafanyakazi wake bila upendeleo kama afya, chakula, nauli nk.
 
Ni ile 30% royalties of his profit alizokuwa anatakiwa kuwalipa wasaanii wakitanzania kwa kuwa wamemtajilisha bila yeye kuwajali. Nadhani mwaka huu sheria itamtaka awalipe, nahivi na kodi nayo hawezi kukwepa tena tuone kama atazitoa tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…