Hivi hii bachelor program ni ngumu sana hapo udsm?

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,058
Reaction score
2,195
Samahanini wakuu hasa wana udsm,naomba kuwauliza,ivi hii bachelor of arts in economics ni ngumu sana?maana nimeona matokeo yao kwenye web ya udsm,yanaonyesha 1st year kuna watu 101 wana supp,2nd year wako 98 na 3rd year 48.ukiangalia uwiano uliopo kwa hao waliosupp 1st yr ni sawa na robo tatu ya wanafunz wote wa mwaka wa kwanza wanaochukua hyo program,vile vile 2nd yr ni sawa na robo tatu ya wanafunz wote wa mwaka wa pili.naomba anaejua kuhusu hii kitu aniambie kama ni mtiti sana ili nijue najipangaje!
 

UDSM inafahamika kwa kuwa-victimise wanafunzi. Any teacher, anaweza kufelisha darasa zima akitaka. I have been a teacher/tutor and this is the normal practice for some teachers! Ni kuwakomoa watoto. Hakuna ugumu wowote. Na huyo mwalimu inabidi asimamishwe, maana hajui kufundisha!
 
Hivi HKL na PCM ipi ni ngumu kuliko nyingine?? Nashangaa kila mara ma-TO ni kutoka PCM
"think deep"
 
Hivi HKL na PCM ipi ni ngumu kuliko nyingine?? Nashangaa kila mara ma-TO ni kutoka PCM
"think deep"
Hakuna somo gumu.Ugumu wa somo ni wewe mwenyewe.Kama wewe unaipenda hesabu na unaijua hesabu basi PCM itakuwa rahisi sana ila HGL itakuwa ni ngumu kwako ila inategemea.Mara nyingi watu wa sayansi wengi wao masomo ya kujieleza sana kama HGL ni magumu sana kama ilivyo maths inavyowasumbua baadhi ya watu wa HGL.
 
Hivi HKL na PCM ipi ni ngumu kuliko nyingine?? Nashangaa kila mara ma-TO ni kutoka PCM
"think deep"

unamaanisha nin hapo mdau?
 
Sina ushahidi kamili na jibu langu but yawezekana mtihan uliwashinda wanafunzi au mwalimu husika kaamua kuwapatia izo failure kwasababu uwo mtindo nasikia vyuo vingi unatokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…