Perry
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 10,058
- 2,195
Samahanini wakuu hasa wana udsm,naomba kuwauliza,ivi hii bachelor of arts in economics ni ngumu sana?maana nimeona matokeo yao kwenye web ya udsm,yanaonyesha 1st year kuna watu 101 wana supp,2nd year wako 98 na 3rd year 48.ukiangalia uwiano uliopo kwa hao waliosupp 1st yr ni sawa na robo tatu ya wanafunz wote wa mwaka wa kwanza wanaochukua hyo program,vile vile 2nd yr ni sawa na robo tatu ya wanafunz wote wa mwaka wa pili.naomba anaejua kuhusu hii kitu aniambie kama ni mtiti sana ili nijue najipangaje!