Hivi hii inakuwaje?

Hivi hii inakuwaje?

RALO

Member
Joined
Jan 31, 2012
Posts
46
Reaction score
13
Kwa mfano nimepata kazi taasisi au kampuni fulani na nimesaini mkataba wa zaidi ya mwaka...ikatokea hapo katikati nimepata kazi nyingine ambayo kwangu ina maslahi zaidi..kisheria utaratibu wa kuacha kazi ya kwanza ukoje?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Sheria za kazi zinakutaka kutoa taarifa mwezi mmoja kabla au ukitaka kuacha ghafla unalipa mshahara wa mwezi mzima
 
Sheria za kazi zinakutaka kutoa taarifa mwezi mmoja kabla au ukitaka kuacha ghafla unalipa mshahara wa mwezi mzima

Na kama mwajiri akikatisha mkataba mwishoni mwa mwezi inakuwaje!?
 
Thanx

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom