Hivi hii inasababishwa na nini?

Hivi hii inasababishwa na nini?

Sheffer95

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2020
Posts
211
Reaction score
515
Habari wana jf
Ningependa kujua hali hii huwa inasababishwa na nini hasa
Mfano, ishawahi kunitokea nipo na mwanamke mrembo sana, ana joto lakini siku niliyokutana naye kimapenzi aiseee baada ya raundi 1 mzee wa kazi aligoma kabisa kuendelea. Alijaribu kila namna lakini ilishindikana, mm nilijaribu kuoga maji ya baridi baadae tena nikaoga ya moto lakini bado haikufua dafu, hivyo na shughuli iliishia hapo
Scenario 2.
Kuna hii huwa inanitokea sana mfano kuna mwanamke ukiwa una sex nae hata kama ni raundi 1 au 2 au 3 aiseee huwa nachoka sana yaani kuanzia kiuno mpaka mgongo yaani ninaweza kaa hata siku 2 bado niko na hali hiyo
Lakini kuna mwanamke ukienda nae raundi hizo hizo au zaidi yaani mwili unakuwa mwepesi kabisaaa hamna uchovu wala nini na unatamani kuendelea tu ila sasa mwezio anakuwa amechoka

Hivyo ningependa kujui hali hii inachangiwa na nini
 
Back
Top Bottom