Hivi hii issue imekaaje viongozi?


Una bahati kakusave jina lako
Ungekuta kakusave "Chura au senene" ungefanyaje😂😂😂
 
Una bahati kakusave jina lako
Ungekuta kakusave "Chura au senene" ungefanyaje[emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo ningewasha Moto
Kuna Shem wangu mmoja kuna mtu alinambia kanisave bonge [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu siku ananipigia kinafki shikamoo [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
 
Mimi pia mjomba wangu nimemsave jina lake la utani walilokua wanamuita rafiki zake. Lakini namuheshimu mbaya mbovu aisee.
Tunataniana sana ila namheshimu mno japo kanizidi umri kidogo tu.

Angalia kama dogo heshima ipo au anakuchukuliaje mkiwa mnaongea au ukimpa maagizo, hutakiwi kuogopwa ila kuheshimiwa.
 
sawa nitajaribu,,,,huenda nao wangeona wangejiskia vibaya maana hadi akina mamkubwa na mauncle wote nimewasave majina yao[emoji2356][emoji2356]
Mimi naogopa mwanangu sema tumetofautina mm ata kusave majina ya watoto wao nashindwa [emoji23][emoji23][emoji23] mkuu.
Kwahyo ata mamkubwa umemsave jina lake SARA? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
 
Dogo kwenye issue ya kuheshimiana sina shaka nae sana ata ukimtuma Hana shida mwanangu.
Issue hiyo ya kunisave mwanangu jina leupe kabisa niliona dogo anazingua

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…