Hivi hii issue imekaaje viongozi?

Dogo kwenye issue ya kuheshimiana sina shaka nae sana ata ukimtuma Hana shida mwanangu.
Issue hiyo ya kunisave mwanangu jina leupe kabisa niliona dogo anazingua

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app

Kuna mtoto wa sister yuko form6
Nilikuta kuamsave baba yake "Faru" na mama yake "Mnoko"
Watoto wetu hao achana na hao wadogo zetu
 
Dogo kwenye issue ya kuheshimiana sina shaka nae sana ata ukimtuma Hana shida mwanangu.
Issue hiyo ya kunisave mwanangu jina leupe kabisa niliona dogo anazingua

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
Wala hazingui, ila wewe ukianza kumzingua nae atakuzingua.
Ishu ndogo kama hiyo ukiifanya kubwa hapo nado ataanza dharau sasa.
 
Unanikumbusha wife wangu siku moja eti amevimba baada ya kuona kwny simu nimemsave mamake (mama mkwe wangu) jina lake halisi, aka-mind eti nikaona ufala huu duh niliishia tu kutikisa kichwa [emoji23][emoji23]
 
Haaaaaaah balaa Mzee kumsave jina lake mtu mzima ni issue mwanangu au unakuta unamwita jina lake

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
 
NKUNDWE, Siku zote Usitake kujua kiasi unachopendwa/kuheshimika na ndugu/watu wakaribu yako, utaumia...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…