Hivi hii kozi ya Social protection inayotolewa na IFM ilianzishwa kwa madhumuni gani?

Hivi hii kozi ya Social protection inayotolewa na IFM ilianzishwa kwa madhumuni gani?

kyanyangwe

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2018
Posts
1,275
Reaction score
3,316
Hii kozi wahitimu wake wengi naona wanaishia kufanya kazi za sales kwenye makampuni ya kichina na kulipwa ujira kidogo sana.
Hivi IFM waliianzisha kwa madhumuni gani haswa?
 
Mwenyewe nina jamaa angu amesoma hiyo kozi namuona daily kariakoo anauza matairi ya magari ya kichina.
 
Ajira zao ni katika mifuko ya pension NSSF na PSSSF sasa sikumbuki mara ya mwisho hizo taasisi kutangaza nafasi za kazi.
 
Wanafanya kazi kwenye Makampuni ya bima pia, kozi yao si Inaitwa insurance and social protection
 
Hii kozi wahitimu wake wengi naona wanaishia kufanya kazi za sales kwenye makampuni ya kichina na kulipwa ujira kidogo sana.
Hivi IFM waliianzisha kwa madhumuni gani haswa?
Yaani sijui watu wanawazaga nini.
Hivi unadhani Kuna mtu anajali maisha yako na Koo yako kuliko wewe mwenyewe mkuu.
Kama hujui Kuna watu wako tayari kukuua ili wao ama Koo zao ziishi kinasa ukitaka kujua hayo cheki kwa wanasiasa. Cheki 2010 Brazil walikuja kucheza na Taifa stars yaani ili baba yenu afurahi kwa gharama ya 3bilioni hela za kitanzania.
Sasa jiulize hizo tungejenga darasa ngapi ama dispensary ngapi, ama visima vingapi, madawa magapi huko kijijini dispensary.
Sasa utashindwa kupambiwa kozi ukasome watu wapate Ada wakakandwe migongo kwa matako ya watt wa kiarabu huko Dubai..fkk. Uu natamani kila haya maswali yasiwepo..Kuna mtu anakuja dakika za mwisho wa kofia na tisheti na sukari unatubuniwa ndio mazima atakuja kurudi baadaye.

Kuna watu wanafuta mihuri inaonyesha expired date za bidhaa zinapigwa mpya so unauziwa Tena mkuu.
Lile bati la gauge 32 linabadilishwa linakuwa 30 so unauziwa mkuu.
 
Back
Top Bottom