kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,275
- 3,316
Ashukuru mungu kapata pakujishikiza, yupo town maisha yanaendaMwenyewe nina jamaa angu amesoma hiyo kozi namuona daily kariakoo anauza matairi ya magari ya kichina.
[emoji1787][emoji1787] mtihani huuAjira zao ni katika mifuko ya pension NSSF na PSSSF sasa sikumbuki mara ya mwisho hizo taasisi kutangaza nafasi za kazi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaahAjira zao ni katika mifuko ya pension NSSF na PSSSF sasa sikumbuki mara ya mwisho hizo taasisi kutangaza nafasi za kazi.
Yaani sijui watu wanawazaga nini.Hii kozi wahitimu wake wengi naona wanaishia kufanya kazi za sales kwenye makampuni ya kichina na kulipwa ujira kidogo sana.
Hivi IFM waliianzisha kwa madhumuni gani haswa?
Ni vitu viwili tofauti hivyoWanafanya kazi kwenye Makampuni ya bima pia, kozi yao si Inaitwa insurance and social protection
Ni vitu viwili tofauti hivyo