Hivi hii miujiza ya manabii/mashehe feki wanaitoa wapi?

Top Gun

Member
Joined
Dec 11, 2024
Posts
49
Reaction score
171
Kwa mujibu biblia na utabiri ndani yake, manabii feki wataweza ku perform miracles kwa kulitaja jina la Yesu.

So hawa watu wame master uwezo wao binafsi maalum namna ya kufanya miujiza? wananaenda kupokea uwezo kutoka mahala maalum? Ni waganga wa jadi ultra prom max?

Karibuni.
 
Mtu kama masanja nikimwamgalia
Et n mchungaji nachoka kabisa
Dini imegeuzwa biashara

Na wanawake ndo kimbilio la kubwa
 
Kuna wale wa redioni dah ni waongo hatari, unapiga simu unajifanya wakike, unasikia kwa mbwembwe "kharhibu nikutabiriiee mamaa naonaa mimba yako imeharibeka"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…