Hivi hii mshindi wa tatu waliopata Argentina haiwezi hesabika international trophy kwa Messi jamani

Gwele

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2016
Posts
2,604
Reaction score
3,319
Leo Argentina amefuta uteja kwa Chile kwenye Copa America na kujinyakulia ushindi wa tatu japo Captain wao akitolewa nje kwa straight redcard dk 38 tu ya mchezo huo.
Kwa matokeo hayo ni wazi Argentina wametwaa nafasi ya tatu chini ya nahodha wao Messi hivyo nae atahesabika ametwaaa international trophy au mambo bado ni vilevile mpaka tusubiri tena worldcup 2022 Qatar?
 
Last time walivyofungwa kwenye zile fainal za copa america na kombe la dunia si walishika nafasi za pili, umeona popote imetambuliwa kama ni international trophy????.
 
Hiyo sio trophy, tuite [emoji966] medal, messi ana medali zipatazo 5 ama 6 kama sikosei kwa timu ya taifa, ana medali ya dhahabu 1 aliyoipata katika mashindano ya Olympic games yaliyofanyika huko beijing china 2018, kama trophy hii ndio tungeita trophy, maana wao ndio walikuwa mabingwa.

Medali nyingine ni kama zifuatazo
2007 venezuela huko, silver , walifungwa fainali copa america
2014 brazil, silver, walikufa fainali
2015 chile, silver
2016 usa, silver
2019 brazil, copper.

Kwahyo ana medali 6 kwa timu ya taifa ya wakubwa.
 
Beijing 2008
 
Daah inauma sana hii

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom