Gwele
JF-Expert Member
- Jun 7, 2016
- 2,604
- 3,319
Leo Argentina amefuta uteja kwa Chile kwenye Copa America na kujinyakulia ushindi wa tatu japo Captain wao akitolewa nje kwa straight redcard dk 38 tu ya mchezo huo.
Kwa matokeo hayo ni wazi Argentina wametwaa nafasi ya tatu chini ya nahodha wao Messi hivyo nae atahesabika ametwaaa international trophy au mambo bado ni vilevile mpaka tusubiri tena worldcup 2022 Qatar?