Last time walivyofungwa kwenye zile fainal za copa america na kombe la dunia si walishika nafasi za pili, umeona popote imetambuliwa kama ni international trophy????.
Beijing 2008Hiyo sio trophy, tuite [emoji966] medal, messi ana medali zipatazo 5 ama 6 kama sikosei kwa timu ya taifa, ana medali ya dhahabu 1 aliyoipata katika mashindano ya Olympic games yaliyofanyika huko beijing china 2018, kama trophy hii ndio tungeita trophy, maana wao ndio walikuwa mabingwa.
Medali nyingine ni kama zifuatazo
2007 venezuela huko, silver , walifungwa fainali copa america
2014 brazil, silver, walikufa fainali
2015 chile, silver
2016 usa, silver
2019 brazil, copper.
Kwahyo ana medali 6 kwa timu ya taifa ya wakubwa.
Daah inauma sana hiiHiyo sio trophy, tuite [emoji966] medal, messi ana medali zipatazo 5 ama 6 kama sikosei kwa timu ya taifa, ana medali ya dhahabu 1 aliyoipata katika mashindano ya Olympic games yaliyofanyika huko beijing china 2018, kama trophy hii ndio tungeita trophy, maana wao ndio walikuwa mabingwa.
Medali nyingine ni kama zifuatazo
2007 venezuela huko, silver , walifungwa fainali copa america
2014 brazil, silver, walikufa fainali
2015 chile, silver
2016 usa, silver
2019 brazil, copper.
Kwahyo ana medali 6 kwa timu ya taifa ya wakubwa.
Sio mahaba mkuu nimeuliza tu ila inauma sana anyway worldcup haiko mbali 2022Mahaba yatatuua haraka sana Chifu...[emoji87]
Sio mahaba mkuu nimeuliza tu ila inauma sana anyway worldcup haiko mbali 2022
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app