Hivi hii ni barabara ya mkoa gani? Mbona imejaa mashimo hivi?

Hivi hii ni barabara ya mkoa gani? Mbona imejaa mashimo hivi?

franci45

Member
Joined
Nov 8, 2023
Posts
76
Reaction score
113
Hivi barabara ya mkoa gani nauliza?

Hii barabara ni mbovu inamshimo balaa. Serikali ya Samia hioni hii hali maana hapa ajali ni lazima kwa ubovu huu

 
Back
Top Bottom