Hivi hii ni haki kweli?

Hivi hii ni haki kweli?

mbea

Member
Joined
Oct 12, 2010
Posts
97
Reaction score
1
Jamani nimeikuta katika library moja kule Qingdao,China.sijuhi kama watu wataweza kuishabikia kwani sidhani kama inavutia,ebu tazama mwenyewe!
 
Attachments

  • MAZIKO.jpg
    MAZIKO.jpg
    27.6 KB · Views: 166
Jamani nimeikuta katika library moja kule Qingdao,China.sijuhi kama watu wataweza kuishabikia kwani sidhani kama inavutia,ebu tazama mwenyewe!

This is just a photo to illustrate defeat
 
Tanzania shangilieni kwa kuwa tumempata rais wetu mpya ambaye ni dk slaa!!
 
Eti mimi nimetafsiri anayeenda kuzikwa ni mpenzi wa Arsenal............. sasa kuna ubaya gani kama wamemtengenezea jeneza la timu aliyokuwa anaipenda?
 
Back
Top Bottom