kancarl JF-Expert Member Joined Jun 4, 2016 Posts 1,182 Reaction score 575 Aug 14, 2016 #41 Kuna kitu kinakutafuna ila hutaki kusema funguka usaidiwe lasivyo utakufa kwa mawazo
NZURI PESA JF-Expert Member Joined Mar 25, 2011 Posts 5,958 Reaction score 2,954 Aug 14, 2016 #42 Samahani mkuu napenda kufahamu hili kabla ya kukushauri. mara ya mwisho umepima uzito wako wa mwili lini na ulikuwa na uzito gani
Samahani mkuu napenda kufahamu hili kabla ya kukushauri. mara ya mwisho umepima uzito wako wa mwili lini na ulikuwa na uzito gani