Hivi hii ni kweli au ananitega? Ushari wenu ni muhimu

Hivi hii ni kweli au ananitega? Ushari wenu ni muhimu

scientificall

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2015
Posts
457
Reaction score
328
Huyu msichana wangu wa zamani nina miaka 10 sijaonana. Amepanga kuja kunitembelea na kukaa siku 3 cha kushangaza na kinachonitia wasiwasi ni pale nilipomugusia suala la mgemgedo akanambia tena kweli nimemkumbusha akija hataki nitumie mpira maana yale mafuta ya ndomu yanamuumiza sana tumbo na inaeza chukua siku 3 anaumwa.

Nami nikamweleza tutaaminiana vipi na mda mrefu hatuonani. Akaniambia ni mimi tu wasiwasi wangu. Sasa nami nikaona isiwe shida nikamwambia akija tu salamu ya kwanza akapime na vipimo nichukue mwenyewe amekubali kwa moyo mmoja. Lakini binafsi nafsi bado inanisuta, nifanyeje ili nijihakikishie % na mgegedo siwezi acha hiyo kesho.

Je ananitega mimba au ana lake jambo?

Ushauri wenu jamani. Sitaki matusi.

Nawasilisha.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Akili kumkichwa

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Broo maisha yamekuwa magumu kiasi ambacho wanawake Saiv wanaangalia wanaume wenye angalau kitega uchumi au wenye kazi ..... Nakushauri Ndg unaletewa game akudake kwenye Mimba kaka..... Mm nimepatwa na hiyo ishu ndg saiv Nalea Mtoto japo Ndg zake wananilazimisha nioe ....

Fursa2017
 
Haaaaa kweli mjinga ndio aliwao kwani ukipima maraj moja ndio ishara kwamba ni mzima ? He kama amevipata majuzi vinaweza kuonekana Leo? Kukuruka ..........
 
Jali maisha yko tendo la cku 1 litakughalimu maisha

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Miaka kumi iliyopita muambie hutembei na wahenga tafuta MTU umtambulishe kabisa maana unatafutwa
 
Huyu msichana wangu wa zamani nina miaka 10 sijaonana. Amepanga kuja kunitembelea na kukaa siku 3 cha kushangaza na kinachonitia wasiwasi ni pale nilipomugusia suala la mgemgedo akanambia tena kweli nimemkumbusha akija hataki nitumie mpira maana yale mafuta ya ndomu yanamuumiza sana tumbo na inaeza chukua siku 3 anaumwa.

Nami nikamweleza tutaaminiana vipi na mda mrefu hatuonani. Akaniambia ni mimi tu wasiwasi wangu. Sasa nami nikaona isiwe shida nikamwambia akija tu salamu ya kwanza akapime na vipimo nichukue mwenyewe amekubali kwa moyo mmoja. Lakini binafsi nafsi bado inanisuta, nifanyeje ili nijihakikishie % na mgegedo siwezi acha hiyo kesho.

Je ananitega mimba au ana lake jambo?

Ushauri wenu jamani. Sitaki matusi.

Nawasilisha.

Post sent using JamiiForums mobile app
Wewe hapa kuna mtego wa Mimba
Hapo kuna mawili akutwishe mzigo wa kuilea maana alikoitoa anapajuwa
Au
Ameamuwa tuu umbebeshe ili muwe tena kalibu maana naona kama vile atakuwa umri umeenda
(Ni mtazamo wangu)

Sent from my itel it1556 Plus using JamiiForums mobile app
 
Hata ukipima on the spot bado haitakupa clue. Kuna ishu ya window period pia.
So, tumia akili
 
Asa ndugu ivi hapo ni utumwa wa ngono ndo umekushinda au unashindwa kutumia common sense ?
 
mkuu we piga mzigo mengine yatajulikana mbele kwa mbele..!!!!
 
Hayo mafuta yanamuumiza kwa kuwa keshatumia sana that's why anajua........think twice
 
Back
Top Bottom